Posted on: August 24th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amefanya ziara ya ukaguzi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Maji ambayo kukamilika kwake kutaongeza wigo wa upatikanaji wa Maji ya kutosha kwa...
Posted on: August 21st, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza kuanza kwa Kampeni ya Uchangiaji wa Miguu Bandia kwa ajili ya Wananchi 1,000 wenye uhitaji wa Miguu hiyo ili kuwawezesha kutembea na kufa...
Posted on: August 20th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo ametoa msaada wa Gari aina ya Noah, Pikipiki Tatu, Computer Tano na Camera Mbili za kisasa kwa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC ili kuongeza nguvu...