Posted on: January 29th, 2018
Zaidi ya Wananchi Elfu Tatu leo wamejitokeza ikiwa ni Siku ya kwanza ya Utatuzi wa Malalamiko ya Kisheria kwa Wananchi waliodhulumiwa chini ya Wanasheria Magwiji 160 ikiwa ni Mkakati wa Mkuu wa Mkoa w...
Posted on: January 27th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kutoa pole kwa Familia ya Wastaafu ya Bwana Edward Bejumula na Bi. Stella Bejumula walioteseka kwa Miaka Sita bila Makazi baada ya ku...
Posted on: January 25th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda amezindua Jengo la upasuaji na wodi ya wajawazito katika Hospitali ya Mwananyamala lililofadhiliwa na Kampuni ya GSM ambalo limegharimu takribani milioni ...