Posted on: June 22nd, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Juni 22 ametimiza ahadi ya kutoa ufadhili wa matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto 10 kati ya 60 alioahidi kugharamia matibabu yao hadi pale watak...
Posted on: June 12th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Timu ya Taifa Stars Mhe. Paul Makonda leo amezindua Jezi mpya ya Timu ya Taifa ambapo amewaonya wale wenye tabia ya kuchap...
Posted on: June 8th, 2019
Kilio cha muda mrefu cha walimu wa shule ya msingi Vijibweni Wilaya ya Kigamboni kufanya kazi chini ya Miti, kwenye makorido, kwenye madawati na kujisaidia kwa majirani kutokana na ukosefu wa ofisi ya...