• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Waziri Bashugwa Ashuhudia Utiaji Saini Ujenzi wa Daraja la Jangwani-Dar es Salaam

Posted on: October 22nd, 2024

 

Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa Leo Oktoba 22,2024 ameshuhudia utiaji saini, ujenzi wa daraja la Jangwani lenye urefu wa Mita 390 litakalounganisha kipande cha Magomeni Wilaya ya Kinondoni na Jangwani Wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam.

Hafla ya utiaji saini imefanyika katika Ukumbi wa Karimjee-Posta na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila, Mkuu wa Wilaya wa Ilala, wajumbe wa vyama vya siasa, Wakurugenzi,Madiwani, wabunge wasimamizi wa ilani, Watendaji kutoka TANROADS pamoja na wakandarasi wa ujenzi wa daraja hilo.

Mchakato wa ujenzi wa daraja hilo ulianza mwanzoni mwa Agosti 2023 na kufunguliwa Oktoba 15 ,2023 ambapo takribani zaidi ya Bilioni 97.1 itatumika kwa ajili ya ujenzi wa daraja hilo la kisasa pamoja na barabara za maungio zenye Mita 700 pande zote za daraja na kukamilika ndani ya miezi 24

Aidha Mhe Albert Chalamila akiongea wakati wa hafla hiyo ametoa shukurani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani kwa utekelezaji wa mradi huo wenye masilahi mapana kwa umma, pia amempongeza Waziri wa Ujenzi kwa kazi nzuri anayoifanya  katika sekta ya ujenzi wa miundombinu katika Mkoa huo na kutoa maombi juu ya ujenzi wa daraja la Mzinga lililopo Wilaya ya Temeke, barabara kibada-mwasonga Kigamboni pamoja na taa za barabarani.

Vilevile Waziri Bashungwa amesema kutakuwa na zaidi ya Bilioni 125 zitakazotumika kujenga daraja la Kigogo mita 50,daraja la Mkwajuni mita 20 katika Jimbo la Kinondoni, daraja la Nguva eneo la Mikadi- Kigamboni,daraja la Kisarawe na mifereji ya maji Kigamboni Kibada, daraja la JKT Ununio, Mifereji ya maji barabara ya Morroco-Afrikana Mwenge,Mlalakuwa na daraja la Mtongani Jimbo la Kawe daraja la Mbagala rangi tatu kuelekea vikindu na kumwaagiza Mtendaji Mkuu kusimamia ujenzi pamoja na taa za barabarani.

Mwisho, Ujenzi wa madaraja haya utafungua njia kwa maendeleo makubwa jijini Dar es Salaam na Taifa kwa unumla, kurahisisha usafiri, kuongeza ajira, na kuimarisha uchumi pia kupunguza foleni, kuboresha usalama, na kuharakisha huduma muhimu, hivyo kuchangia maendeleo makubwa na ustawi wa jamii

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa