• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Ujumbe kutoka Hamburg-Ujeruman Watembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Posted on: March 30th, 2022

Ujumbe kutoka Hamburg Ujeruman wakiwa katika picha ya pamoja na Sekretariate ya Mkoa ikiongozwa na  Dkt Rashid Mfaume wa kwanza kulia kwa walioketi.


Leo Machi 30, 2022 Ujumbe kutoka Hamburg - Ujeruman ukiongozwa na Wolfgang Gratz "Deputy Executive Director International Cooperation" wametembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kupokelewa na Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt Rashid Mfaume kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa huo.

Ujio wa wageni hao kutoka Jiji la Hamburg- Ujeruman ni muendelezo wa kudumisha mahusiano mazuri yaliyopo kati ya *Jiji la Dar es Salaam na Jiji la Hamburg-Ujeruman "Sister City Partnership" kwa takribani miaka 12 hadi sasa.

Aidha Ujumbe huo ulipata wasaa wa kubadilishana mawazo na Wataalam kutoka Sekretarieti ya Mkoa wakiongozwa na Dkt Rashid Mfaume, wakieleza Majukumu yanayofanywa na Idara na Vitengo katika Mkoa.

Vilevile Wataalam wa Sekretarieti waliweza kuwasilisha baadhi ya maeneo ya kisekta ambayo wakishirikiana na marafiki hao wa Ujeruman yanaweza kuboreshwa kwa masilahi mapana ya Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Ifahamike kuwa mahusiano hayo kati ya Jiji la Dar es Salaam na Jiji la Hamburg yameendelea kudumu kwa miaka 12  sasa ambapo mwaka huu inatarajiwa kufanyika sherehe ya kaadhimisha miaka 12 ya mashirikiano " Partinership"


Baadhi ya matukio katika picha wakati wa ujio wa Ujumbe kutoka Hamburg-Ujeruman katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mapema leo

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA AFUNGUA MKUTANO WA "AFRICA E- MOBILITY FORUM"

    March 21, 2023
  • RC Makalla Akabidhi Hundi ya Mikopo ya 10% zaidi ya Bilioni 4.6 Temeke Atoa Maagizo Matano

    March 20, 2023
  • RC Makalla Masoko Mapya Yatakayojengwa Washirikishwe Machinga na Viongozi wa Soko

    March 11, 2023
  • RC Makalla Aeleza Kishindo Cha Rais Dkt Samia Suluhu Miaka 2 DSM

    March 10, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akikagua Maendeleo ya Ujenzi na ukarabati wa Soko la Kariakoo
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa