• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makonda Kumuenzi Askofu Pengo kwa Kuipa Barabara Jina lake

Posted on: January 26th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda katika kuthamini na kutambua mchango mkubwa wa Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika kuhubiri umoja na mshikamano ndani ya Jamii ametangaza kumuenzi kwa kuchagua Barabara moja ya ya kisasa mkoani humo na kuipa jina la Baba Askofu ili azidi kukumbukwa vizazi na vizazi.

RC Makonda amesema Baba Askofu Pengo amekuwa mfano wa kuigwa katika kuhubiri Amani, Upendo na umoja wa kitaifa na hajawahi kuona haya kukemea uovu wowote jambo ambalo Kama Mkoa umeona ni vizuri kumuenzi kwa kumpatia heshima hiyo.

Kwa upande wake Baba Askofu Mwadhama Polycarp Kadinari Pengo amemshukuru RC Makonda kwa kutambua mchango wake ambapo amesema ataifanyia maombi barabara hiyo isiwe na matukio ya uhalifu wa ajali.

Hayo yote yamejiri wakati wa ufunguzi wa majengo mapya ya Bweni la wasichana, Ukumbi na gari ya shule ya Sekondari St. Joseph Millennium ya Goba.

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RAS MADENGE ASISITIZA UTOAJI HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WANANCHI

    January 24, 2023
  • RC Makalla Kuwapeleka Safari ya Mafunzo Viongozi wa Bodaboda na Machinga Nchini Rwanda

    January 20, 2023
  • RC Makalla Atembelea Ujenzi wa Kituo cha Biashara Afrika Mashariki

    January 19, 2023
  • RC Makalla Achoshwa na Danadana za Mkandarasi Soko la Tandale

    January 19, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa