• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makonda Awahakikishia Wanafunzi Waliofaulu katika Mkoa wa Dar es Salaam Kuendelea na Masomo Yao

Posted on: January 8th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewahakikishia wanafunzi 31,092 sawa na 47% ya watoto 64,861 ambao walifaulu katika mkoa huo kuendelea na masomo yao ya kidato cha kwanza kwa kuwa serikali imeanza ujenzi na ukarabati wa vyumba vya madarasa 622 ili kuhakikisha hakuna mwanafunzi atakaeachwa kwa kigezo cha uhaba wa madarasa.

RC Makonda amesema ongezeko la wanafunzi na ufaulu ni matokeo ya mafanikio ya Rais Dkt. Magufuli kutenga fedha zaidi ya bilioni 29 kwaajili ya elimu Bure ambapo kati ya hizo Bilioni 17.46 zinaenda kwenye elimu ya sekondari na tayari Serikali imejipanga na kuhakikisha kuwa tangu January 07 shule zote 147 za sekondari zimefunguliwa hivyo kila mzazi ahakikishe anamuandikisha mtoto ili kuendelea na kidato cha Kwanza.

Aidha RC Makonda amesema katika matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba mkoa huo umekuwa kinara kwa kufaulisha wanafunzi 64,861 sawa na 92% ambapo kati ya hao Wanafunzi 31,092 walikosa vyumba vya madarasa jambo lililoilazimu serikali kupambana kuhakikisha kila aliefaulu anaendelea na masomo.

Hata hivyo RC Makonda amesema lengo la ujenzi wa madarasa hayo ni kuhakikisha kila mwanafunzi anatumia fursa ya Elimu Bure iliyotolewa na Rais Dkt. John Magufuli ya kuhakikisha Mtoto wa maskini anasoma ili kujikwamua kiuchumi na mwisho wa siku Taifa liwe na wataalamu wa kutosha.

Pamoja na hayo RC Makonda amewaonya wanafunzi watakaokwepa kusoma watakamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

DAR ES SALAAM TUNASEMA HAACHWI MTU.

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RAS MADENGE ASISITIZA UTOAJI HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WANANCHI

    January 24, 2023
  • RC Makalla Kuwapeleka Safari ya Mafunzo Viongozi wa Bodaboda na Machinga Nchini Rwanda

    January 20, 2023
  • RC Makalla Atembelea Ujenzi wa Kituo cha Biashara Afrika Mashariki

    January 19, 2023
  • RC Makalla Achoshwa na Danadana za Mkandarasi Soko la Tandale

    January 19, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa