• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makonda Atimiza Ahadi ya Kuwashika Mkono Wachezaji wa Simba Awakabidhi Kitita cha Millioni 24

Posted on: June 3rd, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amewakabidhi wachezaji wa Simba kitita cha shilingi milioni 24 kama sehemu ya zawadi na hamasa kufuatia Timu hiyo kuchukuwa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara na kuingia katika robo fainali ya Klabu bingwa Afrika.

RC Makonda amewataka wachezaji hao kutumia fedha hizo kuanzisha miradi ya maendeleo itakayowasaidia kujipatia kipato pindi watakapostaafu mpira huku akiwataka kutumia umaarufu na Brand zao kujiingizia kutengeneza kipato.

Aidha RC Makonda amesema katika mgawanyo wa fedha hizo Golikipa wa Simba Aish Manula amepokea kiasi cha Shilingi Milioni10, Wachezaji tisa Milioni 1 kila mmoja, Mchezaji bora wa kike wa Simba Queen Milioni 2 na Msemaji wa Simba Haji Manara ambae amepatiwa Milioni 3 kama sehemu ya kutambua mchango wake kwenye uhamasishaji wa mashabiki kujaa uwanjani.

Pamoja na hayo RC Makonda amewaasa wachezaji kuongeza morali ya uchezaji ili waendelee kunyakua ubingwa na kushika nafasi za juu katika ligi za kimataifa.

Hata hivyo RC Makonda amewataka wachezaji kuchukulia michezo kama pesa, Uchumi, Amani na Biashara inayoweza kuwafanya hao binafsi wanufaike kiuchumi na kulipatia taifa mapato ya kutosha kupitia mapato yanayoenda kwenye Manispaa.

Matangazo

  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Aridhia na Mapendekezo ya Ugawaji wa Baadhi ya Kata na Mitaa Kigamboni

    November 29, 2023
  • Hospitali 3 za Rufaa Dar za Kabidhiwa Ambulance za Kisasa

    November 28, 2023
  • DSM Yazindua Mfumo wa Vyeti vya Kuzaliwa vya Watoto

    November 28, 2023
  • RC Chalamila Afungua Mkutano wa Wadau wa TIB

    November 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Akutana na wataalam wa APHFTA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa