• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makonda Ataka Mali za Umma Zilizotaifishwa na Wajanja Kurejeshwa Mara Moja

Posted on: August 3rd, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo Kuunda Timu ya kufanya ukaguzi wa Mali zote za Serikali zilizotaifishwa na wajanja ikiwemo maeneo ya wazi, Nyumba za umma na kubainisha mikataba yote mibovu inayoinyonya Serikali.

RC Makonda ametoa agizo hilo leo wakati wa hafla ya kuwakaribisha wakuu wapya wa wilaya za Kinondoni na Kigamboni, Katibu Tawala Mkoa na kuwaaga wakuu wa wilaya waliohamishwa vituo vya kazi ambapo amemuagiza katibu tawala kuhakikisha anakamilisha ripoti kabla ya September 03 mwaka huu.

Aidha RC Makonda amewataka watendaji kuhakikisha wanasimamia ipasavyo suala la ukusanyaji wa mapato na kuangalia chanzo kilichopelekea Mkoa huo kutofanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato pamoja na kufanyia kazi kasoro zilizojitokeza.

Pamoja na hayo RC Makonda amemtaka Katibu Tawala kupanga safu mpya ya utendaji kazi ili kuhakikisha wanatatua kero za wananchi ambapo ametaka kuanza na Idara ya Ardhi, Biashara, Usafi, Mapato na Michezo ambazo bado hazijamridhisha kiutendaji kazi.

Hata hivyo RC Makonda amewasihi viongozi walioteuliwa kuchapa kazi ili kuenda sambamba na kasi ya Rais Dkt.John Magufuli aliewaamini na kuwateua

Matangazo

  • RATIBA YA KAZI YA MHE RC MAKALLA June 14, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA BEI ELEKEZI YA MBOLEA March 30, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla Maonesho ya 46 Sabasaba 2022 Yamefana

    July 01, 2022
  • RC Makalla Uhusiano wa Dar es Salaam na Hamburg Wafanikisha Uzinduzi Kiwanda Cha Mboji

    June 30, 2022
  • RC Makalla Awaalika Wananchi Tamasha la Utamaduni na Siku ya Kiswahili Duniani

    June 29, 2022
  • RC Makalla Benk ya Afrika Kushirikiana na Serikali Kujenga Masoko ya Kisasa ya Machinga

    June 27, 2022
  • Tazama zote

Video

RC Makalla Awakaribisha Wananchi Kupima Afya Bure
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa