• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA AKAMILISHA AHADI YA KUGHARAMIA SAFARI NA MATIBABU YA AHMED ALBAITY NCHINI CHINA.

Posted on: March 5th, 2018

Machozi ya furaha leo yameitoka familia ya kijana Ahmed Albaity baada ya kukamilika kwa Safari ya matibabu kwa kijana wao kuelekea Nchini China safari iliyofanikishwa kwa jitiada binafsi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ambae amejitolea kugharamia fedha ya Usafiri, Matibabu na Malazi kwa kijana huyo na hatimae jioni ya leo RC Makonda amemsindikiza Ahmed Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa safari.

Ahmed alipangiwa na Madaktari kwenda kupatiwa Matibabu China tokea Miaka miwili iliyopita lakini hakuweza kwenda kutokana na kushindwa kumudu gharama lakini kupitia jitiada binafsi za RC Makonda amefanikisha Safari ya Matibabu kwa Ahmed.

Ahmed Albaity amesafiri jioni ya leo akiongozana na wasaidizi Watatu ambapo RC Makonda amewafanikishia kupata fedha ya Tickets Nne za Ndege (first class), fedha ya matibabu na fedha ya kujikimu ambapo kwa ujumla ni zaidi ya Million 107.

RC Makonda amesema ataendelea kumsaidia Ahmed kwa kadiri ya uwezo wake ili aweze kurudi katika Hali yake ya kawaida ambapo amewashukuru wadau wote waliomchangia hadi kufanikisha safari hiyo.

"Nafasi ya Ukuu wa Mkoa sio yangu bali ni ya watu na watu wana changamoto zao hivyo tunalazimika kutoka kwenda kuona mahitaji ya wananchi na hatimae waone thamani ya uongozi na Serikali yao, hatuna bajeti lakini Mimi kama Makonda niliniliona vyema niwatafute Marafiki zangu ili tumsaidie ndugu yetu Ahmed apate matibabu na kurejesha tabasamu, ninayo furaha kusema tumefanikiwa kupata Dola 52,000 sawa na zaidi ya Million 107" Alisema RC Makonda.


RC Makonda amewasihi wananchi kuwa na Moyo wa kusaidiana kwenye matatizo na kuombeana heri.

Kwa upande wake Ahmed amemshukuru Rais Dr. John Magufuli kwa kumteua RC Makonda kuongoza Mkoa wa Dar es salaam ambapo kupitia yeye amefanikisha ndoto yake ya kupatiwa matibabu Nje ya Nchi.

Aidha amesema wana Dar es salaam wanapaswa kujivunia kupata bahati ya kipekee ya kuwa na kiongozi imara anaejali wananchi wake pasipokujali Dini wala kabila.

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa