• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makonda Akabidhi Msaada wa Gari, Vitanda, Magodoro na Vifaa Tiba Vyenye Thamani ya Shilingi Milioni 467

Posted on: June 12th, 2020


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Juni 12 amekabidhi msaada wa Gari moja, Vitanda 600, Magodoro 600 na Mashine za kupumulia 7 kwa Manispaa ya Ilala na Kigamboni kwa ajili ya kutoa huduma kwenye Hospital mpya za Wilaya hizo.

Katika Mgawanyo wa vifaa hivyo alivyokabidhi RC Makonda, Wilaya ya Kigamboni imepatiwa Gari Moja, Mashine 5 za kupumulia (oxygen concentrator), Vitanda 300 na Magodoro 300 ambapo kwa upande wa Ilala wamepatiwa Magodoro 300, Vitanda 300 na Mashine 2 za kusaidia Wagonjwa  kupumula.

RC Makonda amesema mbali na kukabidhi vifaa hivyo tayari Serikali imeingiza kiasi cha shilingi milioni 300 kwa kila Wilaya kwa ajili ya Kukamilisha miundombinu ya mawasiliani kwa Majengo ya OPD, Mahabara, Majengo ya upasuaji na Majengo ya Mahabara kwa lengo la kurahisisha huduma.

Aidha RC Makonda amewataka wananchi kwenda kupata huduma za Afya kwenye Hospital Mpya za Wilaya ya Kigamboni na Ilala kwakuwa tayari zimeanza kutoa huduma tokea Juni Mosi mwaka huu.

Pamoja na hayo RC Makonda amewataka watumishi wote wa Afya waliohamishiwa kwenye Hospital mpya za Wilaya kuhakikisha wanafika na sehemu zao za kazi.

RC Makonda pia amesema kuwa amefanikiwa kupata wadau wa Taasisi ya Doris Molel Foundation ambao wameahidi kumpatia vifaa kwaajili ya watoto njiti na muda wowote kuanzia sasa vitakabidhiwa kwa Hospital ya Wilaya ya Kigamboni.


Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • RAS MADENGE ASISITIZA UTOAJI HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WANANCHI

    January 24, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa