• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA AJITOLEA KUMSAIDIA KIJANA MWENYE TATIZO LA UTI WA MGONGO

Posted on: November 30th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. PAUL MAKONDA amejitolea kumsaidia Kijana AHMED ALBAITY anayesumbuliwa na tatizo la Uti wa Mgongo lililompelekea kulala kitandani kwa takribani miaka  kumi (10).

AHMED ALBAITY anatakiwa kwenda kutibiwa Nchini China kwa muda wa Wiki tatu akiambatana na Wasaidizi Wawili ambapo Gharama za Matibabu zinazohitajika ni zaidi ya Dola 40,000 za Marekani ambapo Sindano moja aliyoandikiwa inagharimu kiasi cha Dolla 27,000.

RC MAKONDA amesema atafanya jitihada zote kuhakikisha AHMED anapatiwa Matibabu ili aweze kupona na kutimiza ndoto zake akiwa na Afya Njema.

Mapema leo RC MAKONDA ametembelewa Ofisini kwake na Balozi Mpya wa China Nchini Tanzania Bi. WANG KE ambae amekuja kujitambulisha kwa Mkuu wa Mkoa ambapo katika Mazungumzo RC MAKONDA amemgusia Balozi huyo Suala la Matibabu ya AHMED ALBAITY ambapo Balozi WANG KE alieambatana pia na Daktari Bingwa wa China aliyebaki Nchini kwa ajili ya Shughuli ya Serikali ya China ambapo wamemtazama na kupitia Ripoti ambapo wameahidi kulifanyia kazi suala hilo.

Katika Mazungumzo hayo pia wamejadili Masuala mbalimbali ikiwemo Kuimarisha Usalama, Kampeni ya Ujenzi wa Ofisi za Walimu na kuongeza huduma kwa Wananchi.

RC MAKONDA pia ameishukuru Serikali ya China kwa kuleta Meli ya Jeshi la China yenye Hospital ndani ambayo imesaidia kutoa vipimo na Matibabu kwa wananchi wengi.

Kwa Upande wake Bolozi Mpya wa China Nchini Tanzania WANG KE amesema Serikali ya China itaendelea kusaidiana na Tanzania katika masuala yote ya maendeleo.

Matangazo

  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Aridhia na Mapendekezo ya Ugawaji wa Baadhi ya Kata na Mitaa Kigamboni

    November 29, 2023
  • Hospitali 3 za Rufaa Dar za Kabidhiwa Ambulance za Kisasa

    November 28, 2023
  • DSM Yazindua Mfumo wa Vyeti vya Kuzaliwa vya Watoto

    November 28, 2023
  • RC Chalamila Afungua Mkutano wa Wadau wa TIB

    November 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Akutana na wataalam wa APHFTA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa