• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla TCCIA ni Mdau Mkubwa Katika Kujenga Uchumi wa Nchi

Posted on: August 9th, 2022

-Aufuata Uongozi wa TCCIA na Kufanya Kikao cha Kupokea Mipango na Kero

-Awataka Viongozi TCCIA Kuitangaza Tanzania na Kuvutia Biashara

-TCCIA wafurahia Utayari wa Serikali kuwafuata, na Kupokea mpango wa Uchumi wa Blue DSM

RC Makalla ameyasema hayo alipokutana na kufanya Kikao Kazi na Uongozi wa TCCIA leo Agosti 9,2022 PPF House Gorofa ya pili Mtaa wa Samora Jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa Mhe Amos Makalla amesema kwa kutambua kuwa TCCIA ni mdau muhimu katika Uchumi wa Nchi na Maelezo ya Rais Samia ni kuhakikisha wasidizi wake wanatatua Kero za Wafanyabishara ndio maana ametoka Ofisini kwake kuwafuata kusikiliza kero na Mipango yao katika kuboresha Sekta hiyo muhimu ya Biashara.

RC Makalla amewataka kushirikiana na Serikali katika kutafuta fursa za Masoko ndani na nje ya nchi, Kufanya kazi kwa karibu na TIC, Viongozi wa Chemba ya Biashara wakutane na wakuu wa Wilaya ili kutengeneza mahusiano mazuri na amewahakikishia hakutakuwa na urasimu tunataka kufanyika kwa uwekezaji na Biashara.

Aidha RC Makalla amesema amewatembela kuthibitishia dhamira ya Serikali ya kufanya kazi nao kwa karibu ni mategemeo yake kuwa TCCIA wanaenda kuwa mabalozi wazuri wa kuzitangaza bidhaa za Kitanzania ili kupanua mtandao wa Soko.

Kwa Upande wa TCCIA wamefurahishwa na Utayari wa Serikali kuwafuata kupokea Mipango yao ya Uchumi wa Blue, kusililiza kero na kuzitolea ufafanuzi

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RAS MADENGE ASISITIZA UTOAJI HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WANANCHI

    January 24, 2023
  • RC Makalla Kuwapeleka Safari ya Mafunzo Viongozi wa Bodaboda na Machinga Nchini Rwanda

    January 20, 2023
  • RC Makalla Atembelea Ujenzi wa Kituo cha Biashara Afrika Mashariki

    January 19, 2023
  • RC Makalla Achoshwa na Danadana za Mkandarasi Soko la Tandale

    January 19, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa