• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Operesheni Inaendelea, Dar es Salaam ni Shwari

Posted on: September 19th, 2022

 

- Asema Operesheni ya kukamata Panya Road imekuwa na mafanikio makubwa.

- Vituo vya polisi vikubwa kwa vidogo kufanya kazi saa 24 kudhibiti uhalifu.

- Aelekeza Kila Mtaa kuweka utaratibu wa kufanya kikao Cha Ulinzi kila wiki ya kwanza ya Mwezi.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amesema kwa siku nne tangu kuanza kwa Operesheni ya kukabiliana na Panya Road Mkoa upo salama Baada ya kufanikiwa kuwakamata Watuhumiwa 135 na Vifaa mbalimbali vilivyoibiwa.

RC Makalla amesema hayo wakati wa kikao kazi Cha Kamati ya Ulinzi na usalama kilichoketi kufanya tathimini ya Hali ya usalama Mkoa pamoja na kupokea taarifa ya mwenendo wa Operesheni ya kukamata Wahalifu.

Ili kuhakikisha matukio hayo hayajirudui, RC Makalla amebainisha mipango ya kudhibiti uhalifu ikiwemo Vituo vyote vya polisi kufanya kazi kwa saa 24, Ongezeko la Doria kila Kata, Kila Mtaa kufanya mkutano maalumu kujadili ajenda ya Ulinzi na usalama kila wiki ya kwanza ya Mwezi.

Aidha RC Makalla amesema mipango mingine ni msako kwa Wafanyabiashara wanaouza na kununua Vifaa vya Wizi, Kuimarisha Vikundi vya ulinzi Shirikishi, ufuatiliaji wa mienendo wafungwa waliomaliza kutunikia vifungo na msako* kwenye *vijiwe, majumba mabovu yasiyokamilika (Mapagala) na vibanda umiza* ambavyo vimekuwa sehemu ya kukutana na kuweka mipango.

Pamoja na hayo RC Makalla ametoa wito kwa Wazazi kuhakikisha wanazingatia suala la malezi kwa kufuatilia mienendo ya watoto wao.

Operesheni ya kukamata Panya Road ilizinduliwa September 15 na ndani ya siku nne imekuwa na mafanikio makubwa yaliyopelekea kukamatwa kwa Watuhumiwa 135, Wanunuzi 5 wa Vifaa vya Wizi na kupatikana kwa Mali zilizoibiwa ikiwemo Tv, Radio, simu za mkononi na vitu vingine.

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA AFUNGUA MKUTANO WA "AFRICA E- MOBILITY FORUM"

    March 21, 2023
  • RC Makalla Akabidhi Hundi ya Mikopo ya 10% zaidi ya Bilioni 4.6 Temeke Atoa Maagizo Matano

    March 20, 2023
  • RC Makalla Masoko Mapya Yatakayojengwa Washirikishwe Machinga na Viongozi wa Soko

    March 11, 2023
  • RC Makalla Aeleza Kishindo Cha Rais Dkt Samia Suluhu Miaka 2 DSM

    March 10, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akikagua Maendeleo ya Ujenzi na ukarabati wa Soko la Kariakoo
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa