• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Mradi wa Mwendokasi Kilwa Road Mbagala Kukamilika Machi 2023

Posted on: April 20th, 2022

- Ampongeza *Rais Samia Suluhu Hassan kwa ufuatiliaji miradi yote mikubwa ya kimkakati.

- Aridhishwa na *hatua zilizochukuliwa na TANROAD Mkandarasi Sasa amepongeza Kasi ya ujenzi.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewapongeza TANROAD kwa hatua walizochukuwa kumsimamia Mkandarasi kutoka kampuni ya SINOHYDRO anaetekeleza Awamu ya pili ya mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya mwendokasi Kilwa road.

Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua Miradi ya maendeleo Wilaya ya Temeke, RC Makalla amefurahi kuona Ujenzi huo umefikia Asilimia 52 ambapo amemtaka Mkandarasi kuongeza bidii ili kazi ikamilike kabla ya mwezi March mwakani  ili lengo la Rais Samia Suluhu Hassan kutoa huduma bora ya usafiri iweze kutimia.

Kutokana na mwenendo Mzuri wa Mkandarasi, RC Makalla ameelekeza kuwepo kwa utaratibu rafiki utakaofanya Shughuli za Ujenzi zinazoendelea zisiathiri Shughuli za Wananchi ikiwemo kusababisha foleni, vumbi na hata kuzuia uzalishaji viwandani.

Hata hivyo RC Makalla amewaelekeza TANROAD na TARURA kumpatia taarifa ya mgawanyo wa Majukumu yao hususani kuweka makubaliano ya nani anapaswa kusimamia Mifereji na Mitaro.

Katika ziara hiyo RC Makalla pia ametembelea Ujenzi wa Zahanati ya Toangoma inayogharimu Shilingi Milioni 250 na Zahanati ya Kilakala inayogharimu Shilingi Milioni 250 ikiwa ni fedha zitokanazo na Tozo za Simu ambapo amepongeza Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa kusimamia kikamilifu Miradi ya maendeleo

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA JULY, 2022 July 05, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA BEI ELEKEZI YA MBOLEA March 30, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla Maonesho ya 46 Sabasaba 2022 Yamefana

    July 01, 2022
  • RC Makalla Uhusiano wa Dar es Salaam na Hamburg Wafanikisha Uzinduzi Kiwanda Cha Mboji

    June 30, 2022
  • RC Makalla Awaalika Wananchi Tamasha la Utamaduni na Siku ya Kiswahili Duniani

    June 29, 2022
  • RC Makalla Benk ya Afrika Kushirikiana na Serikali Kujenga Masoko ya Kisasa ya Machinga

    June 27, 2022
  • Tazama zote

Video

RC Makalla Awakaribisha Wananchi Kupima Afya Bure
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa