• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC MAKALLA: AZINDUA RASMI NMB PESA AKAUNTI, HUDUMA KIDIGITALI

Posted on: December 14th, 2022


- Afurahishwa na Ubunifu wa Benki ya NMB
-Asema NMB wamekuja wakati muafaka ambapo watanzania wengi bado hawana Akaunti
- Awataka wananchi kutumia fursa hiyo kufungua NMB PESA AKAUNTI
-Asisitiza NMB kutoa huduma hiyo nchi nzima
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla leo amezindua NMB pesa akounti hafla ambayo imefanyika katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Magufuli Mbezi-Ubungo Jijini Dar es Salaam.
RC Makalla akizindua huduma hiyo ya kidigitali amefurahishwa na ubunifu unaofanywa na NMB  wa kuwawezesha wananchi kupata huduma mbalimbali za kifedha kwa kufungua akaunti popote walipo kwa gharama nafuu na haraka pamoja na kufanya miamala hapohapo kupitia simu ya kiganjani na gharama ya kufungua Akaunti hiyo ni kuanzia Tsh 1000 tu gharama ambayo wananchi wengi wanaweza.
Aidha RC Makalla amesema NMB wamekuja na huduma hiyo kwa muda muafaka ambapo wananchi wengi hawana akaunti hivyo amewataka wananchi kutumia fursa hiyo adhimu kufungua NMB Pesa Akaunti pia amesisitiza huduma hiyo itolewe nchi nzima* kwa kuwa inafaida kwa wananchi
Kwa Upende wa NMB wamesema huduma ni rahisi inafanyika kwa haraka pasipo mteja kujaza fomu kama ilivyozoeleka, mteja atafungua akaunti popote alipo na ataweza kufanya miamala papohapo bila kutumia kadi ni kupitia simu  yoyote ile ya kiganjani na pesa atatoa kwa mawakala wa NMB walioko maeneo mbalimbali

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa