• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Awataka Waajiri Kuwasilisha Michango ya Wafanyakazi kwa Wakati

Posted on: May 1st, 2022

- Ataka Maafisa kazi kufanya ukaguzi wa Mara kwa Mara.

- Awashukuru Wafanyakazi kwa ushirikiano na kuendelea kufanya Kazi.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo ameongoza Maelfu ya Wafanyakazi wa Mkoa huo kwenye Sherehe za Mei Mosi*ambapo amewapongeza Wafanyakazi kwa utendaji mzuri katika kuchochea Uchumi na utoaji wa huduma Bora kwa jamii.

RC Makalla amesema miongoni mwa Mambo anayojivunia kwa Wafanyakazi wa Mkoa huo ni Ongezeko la mapato, huduma Bora za Afya, Maji, Ufaulu mzuri mashuleni na miradi ya maendeleo.

Akizungumza wakati wa mahadhimisho hayo ambayo kimkoa yamefanyika Uwanja vya Uhuru, RC Makalla amewataka Waajiri wote *kuwasilisha michango* ya Wafanyakazi kwa wakati katika mifuko ya hifdhi ya jamii.

Aidha RC Makalla amewaelekeza Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, na Waajiri kulipa fedha za uhamisho na madai mbalimbali ya Wafanyakazi.

Katika Sherehe hizo, RC Makalla amepokea Maoni na mapendekezo ya Wafanyakazi kupitia hotuba ya Wafanyakazi wa Mkoa huo ambapo ameahidi kupatia ufumbuzi changamoto zilizo ndani ya uwezo wake na zile zinazohitaji kutatuliwa na Mamlaka za juu ataziwasilisha.

Hata hivyo RC Makalla amesema amewataka Wafanyakazi kuendelea na kazi wakati changamoto walizowasilisha zinaendelea kufanyiwa kazi na Serikali sikivu ya awamu ya sita.

Mahadhimisho ya Mei Mosi kwa Mwaka huu yameongozwa na kauli mbiu isemayo "Mishahara na maslahi Bora ya Wafanyakazi, Kazi IENDELEEE"

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa