• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Awataka Madiwani na Watendaji Kuepuka Mivutano

Posted on: May 31st, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Madiwani wa Jiji la Dar es salaam kuepuka Migongano na Mivutano isiyokuwa na faida yoyote kwa Wananchi na badala yake wajikite Katika kujenga hoja na Mipango ya kutatua kero kwa maslahi mapana ya Wananchi.

RC Makalla amesema kumekuwa na tabia ya ajabu pale Serikali inapotoa fedha kwaajili ya utekelezaji wa miradi fulani, Madiwani wanajikuta wanaanza kulumbana kwa Mambo yasiyokuwa na msingi Jambo linalochelewesha kuanza kwa miradi ya maendeleo na kuleta usumbufu kwa Wananchi.

Akizungumza wakati wa kikao cha pamoja kati yake na Madiwani pamoja na Maafisa Watendaji kata, RC Makalla amewataka Viongozi hao kusimamia kikamilifu suala la Usafi Katika maeneo yao na kuwa mstari wa mbele kwenye usimamizi wa miradi ya maendeleo.

Aidha RC Makalla ameonyesha kufurahishwa na mafanikio makubwa yanayoendelea kupatikana katika Operesheni tokomeza Majambazi na Vibaka Dar es salaam ambapo amewahakikishia wananchi kuwa Serikali imejidhatiti kuwalinda na Mali zao.

Hata hivyo RC Makalla amelitaka Jiji la Ilala kuhakikisha linawapanga Vizuri Wamachinga Katika maeneo yao ili waweze kufanya biashara zao kwa hali ya Usalama na kwa mujibu wa Sheria.

Pamoja na hayo, RC Makalla amelitaka Jiji la Ilala kuhakikisha Mradi wa Machinjio ya kisasa Vingunguti unaanza kufanya kazi ifikapo Julai Mosi ili lengo la kuanzishwa kwa Machinjio hayo litimie.

Kwa upande wao Madiwani na Maafisa watendaji kata wamemuhakikishia RC Makalla kuwa maelekezo na Maagizo aliyoyatoa wameyapokea kwa mikono miwili na watayafanyia kazi.

Aidha wamempongeza kwa uamuzi wake wa kuanza ziara ya Kata kwa Kata na wamemuahidi kumpatia ushirikiano kwakuwa wanaamini kupitia ziara hiyo watu wengi watatatuliwa kero zao.

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa