• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Atoa Maelekezo 8 Kumaliza Mgogoro Mabwepande

Posted on: September 22nd, 2021

 - Aunda kikosi kazi kuhakiki kila mkazi, mwenye kiwanja/shamba kujitokeza mbele kamati kuhakikiwa.

- Aipa kamati siku 30 ambapo kila mtaa kamati itafanya kazi siku 5 mitaa 5 siku 25.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa maelekezo 8 ya kumaliza Migogoro ya Ardhi eneo la Mabwepande Kufuatia eneo hilo kuwa *kinara wa Migogoro ya Ardhi Jambo linalohatarisha usalama.

RC Makalla ametoa maelekezo hayo Leo wakati wa mkutano Maalumu na wakazi wa eneo hilo ambapo miongoni mwa maelekezo hayo nane ni pamoja na:-


• Kuunda timu ya Wataalamu ikijumuisha Vyombo vya ulinzi na usalama, idara ya Ardhi na Wanasheria* ambapo itafanya uhakiki wa nyaraka za umiliki wa Ardhi kwa muda wa siku 30.

• Kukamata Watu wote waliohusika kuuza na kutapeli Wananchi maeneo ikihusisha Wauzaji, Madalali na Wenyeviti wa Mitaa* waliohusika kwenye udanganyifu.

• Ameelekeza Manispaa ya Kinondoni kutoa *elimu ya Urasimishaji wa Ardhi kwa Wananchi.

• Kufutwa usajili kwa kampuni zote za Upimaji na Urasimishaji wa Ardhi zitakazofanya kazi kinyume na taratibu.

• Wenye Mashamba, Mapori, Taasisi za Umma Kuyaendeleza maeneo wanayomiliki.

• Wakati Kamati unafanya kazi ni *marufuku Ujenzi kufanyika pasipo kibali.

• Kuainishwa kwa Maeneo yote ya Huduma za Jamii na yalindwe yasivamiwe.

• Kamati kukutana na Wenye Mashamba/ Mapori ambayo maeneo yao yamevamiwa ili Kuangalia njia nzuri ya busara ya kumaliza Mgogoro ikiwemo  wavamizi kukubali *kumlipa mmiliki halali kidogokidogo* kulingana na makubaliano yao.


RC Makalla amesema anaamini njia hiyo itakuwa Suluhu ya kumaliza Migogoro Mabwepande kwakuwa Serikali itajua wakazi halali wa eneo hilo na Kusisitiza kuwa baada ya Mgogoro kumalizika hataki kuona Mapori Mabwepande.

Aidha RC Makalla ameelekeza kusimama kwa operesheni zote za kubomoa nyumba za Wananchi* mpaka hapo timu ya Wataalamu itakapomaliza kazi yake.













ReplyForward







Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa