• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Atangaza Usafi Barabara Kuu na Dar ya Kijani

Posted on: July 18th, 2022

RC Makalla Akiongea na Watendaji katika Ukumbi wa NCCF Ilala Boma


- Aelekeza Barabara kuu kusafishwa na kufungwa mifumo ya umwagiliaji.

- Asisitiza Upandaji miti na bustani za watu kupumzika.

- Viongozi wa Machinga wajitolea kuisaidia Serikali kuwapanga vizuri Machinga Wanaofanya biashara kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makalla ametangaza Operesheni kabambe ya Usafi wa Barabara kuu za Mkoa huo ifikapo Jumamos ya Julai 30 ambapo ameelekeza Wananchi na Wakandarasi wa Kampuni za uzoaji wa taka kushiriki kwenye zoezi Hilo.

RC Makalla amesema hayo wakati wa kikao kazi maelekezo kilichojumuisha Viongozi kuanzia ngazi ya Wilaya, Kata, Mitaa na Wadau mbalimbali wa maendeleo ambapo amesema Jiji la Dar es salaam Lina uwezo wa kutoka kwenye nafasi ya sita kwa Usafi Barani Africa na kushika nafasi za juu.

Ilikufanikisha zoezi Hilo, RC Makalla ameelekeza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi kuhitisha kikao na Watendaji wa Kata na Mitaa kabla ya Julai 30 ili kuweka mipango!kazi wa kufanikisha.

Aidha RC Makalla ameelekeza pia Usafi wa Mito na maboresho ya Fukwe huku akiwataka Wakandarasi wa uzoaji wa taka kuhakikisha taka zinazokusanywa zinaondolewa kwa wakati.

Maelekezo ya RC Makalla yamepokelewa kwa mikono miwili na Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Wastahiki Meya, Wenyeviti na Watendaji wa Kata/ Mitaa, Wakandarasi wa taka na Wadau mbalimbali wa maendeleo ambapo wameahidi kuyatekeleza kwa ufanisi mkubwa.

Miongoni mwa Barabara kubwa ambazo RC Makalla ameelekeza kufanyiwa Usafi wa Hali ya juu ni Nyerere road, Bagamoyo road, Morogoro road, Mandela Road, Kilwa road, Pugu Road na nyinginezo kwakuwa zinabeba taswira ya Jiji Hilo.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa