• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Ataka Machinga Kariakoo Kuchangamkia Nafasi 2400 Machinga Complex-Ilala

Posted on: October 29th, 2021

- Asema Machinga Complex-Ilala bado kuna nafasi 2400 ziko wazi

- Amuagiza Mkurugenzi Ilala kumaliza Changamoto ya Umeme, Maji na Vyoo

- Aahidi kutoa maelekezo LATRA ili kuwa na "route" ya daladala Machinga Complex

- Ampongeza Rais Samia Suluhu kwa kutoa pesa kuboresha maeneo ya Wamachinga

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla leo Oktoba 29, 2021 ametembelea soko la Machinga Complex- Ilala, Dar es Salaam.

Akiwa katika Soko hilo alipata wasaa wa kuzungukia eneo la soko kujionea Utekelezaji wa agizo lake la Kuwapanga vizuri wamachinga ambapo alijionea Wamachinga waliohamia tayari na bado nafasi zingine zipo wazi.

Mhe Makalla amesema Muongo muongoze watu wanasema hakuna nafasi lakini amejionea kwa macho yake nafasi zilizowazi takribani 2400 ndipo akatoa Rai wamachinga wa Kariakoo kuhamia Machinga Complex nafasi zipo.

Aidha Mkuu wa Mkoa amemuagiza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kushughulikia Changamoto zilizoko Machinga Complex ikiwemo kuleta umeme haraka, Maji na Kuongeza vyoo kwa kuwa vilivyoko kwa sasa ni vichache havitakidhi mahitaji kwa kuwa wafanyabiashara wadogo wanaongezeka.

Sambamba na hilo Mhe Makalla ameahidi kufanya mazungumzo na  LATRA kwa lengo la kuelekeza Daladala kufika Machinga Complex, hiyo itasaidia wateja wanaokuja kununua bidhaa wasipate adha ya usafi.

Mhe Makalla akikagua Banda kililojengwa Pembeni mwa Jengo la Machinga Complex kwa ajili ya Wamachinga amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Milioni 100 ambazo zimewezesha kujengwa kwa kibanda ambacho kimekamilika na kinatumiwa sasa na wamachinga.

Mhe Makalla amesema ataendelea kutembelea maeneo mbalimbali ambayo wamachinga wamehamia ili kutatua Changamoto ndogo ndogo leo ameaanza na Machinga Complex

Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam inafanya kila jitihada kuhakikisha inatatua Changamoto ndogo ndogo zote zilizoko katika maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya Wamachinga ili kuyaboresha

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa