• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Apongeza Rais Dkt Samia Kutoa Shilingi Bilioni 950 Hospital ya Jeshi la Magereza Ukongo

Posted on: May 4th, 2023

 

- Ujenzi umefikia asilimia 95.

- Hospital inahudumia zaidi ya Wananchi laki Tisa wa Jimbo la Ukonga.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam CPA, Amos Makalla leo ameweka jiwe la msingi kwenye Jengo la Dharura kwenye Hospital ya Jeshi la Magereza Ukonga ambayo inatoa huduma za Afya kwa Jeshi la Magereza na Wananchi zaidi ya laki Tisa wa Jimbo la Ukonga.

Akizungumzia wakati wa Hafla hiyo,RC Makalla amemshukuru Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 950 kwaajili ya ujenzi huo ambapo Shilingi Milioni 350 zimejenga majengo na Milioni 600 zimehusika kwenye Ununuzi wa Vifaa tiba.

Aidha CPA, Makalla amepongeza Jeshi la Magereza Kasi ya ujenzi ambapo mpaka Sasa hospital imekamilika kwa asilimia 95 huku wakiomba kuongezewa Shilingi Milioni 118 Ili ikamilike kwa asilimia 100 ambapo Mkuu wa Mkoa amepokea kwa mikono miwili ombi Hilo na Ameahidi kulifanyia kazi.

Pamoja na hayo RC Makalla amesema uwekezaji jiwe la msingi wa jengo Hilo ni sehemu ya mwendelezo wa maadhimisho ya Siku ya Muungano ambapo pia ametoa wito kwa Jeshi Hilo kuendelea kushirikiana na Wananchi wa Ukonga katika masuala mbalimbali ya kijamii.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa