• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC MAKALLA AONGOZA UKAGUZI MTO RUVU NA VYANZO VYA MTO RUVU MKOA WA MOROGORO

Posted on: November 3rd, 2022

 - Awataka wananchi  wa MVUHA, DUTUMI, TULO MOROGORO vijijini kuondoa haraka mifugo katika vyanzo vya maji ikiwemo mto Ruvu

- Kamati za ulinzi na Usalama Wilaya za Bagamoyo, Kibaha na Morogoro zatakiwa kukutana haraka kudhibiti mifugo na wachepushaji maji wachache waliobaki

- Awaomba wanachi wa Mkoa wa Dare es Salaam kuendelea kuwa watulifu wakati serikali ikiendelea kuchukua hatua za haraka za kufufua visima 197 ili kuongeza maji

- Asema kazi ya kuingiza maji lita milioni 70 Kutoka KIGAMBONI imekamilika

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos makalla leo Novemba 3,2022 ameongoza ukaguzi wa Mto Ruvu pamoja na mito yote inayoingiza maji katika Mto Ruvu ziara hiyo amehusisha vyombo vya ulinzi, kaimu mkuu wa Mkoa wa Pwani  Mhe Sara msafiri na watalaam wa bonde Mto Ruvu

Ukaguzi huo umefanyika katika mto Ruvu kuanzia wilaya Nagamoyo, Kibaha na morogoro vijijini Kwa kuangalia vyanzo vya mito ya Mgeta, Mvuha   na Dutumi

Aidha katika ukaguzi huo wameona maji yameendelea kupungua kutokana naa ukame pia baadhi ya maeneo yakiwa na mifugo.

Hata hivyo RC Makalla amewataka wananchi wa Durumi na Mvuha kuondoa haraka mifugo katika vyanzo vya maji ikiwemo Mto Ruvu

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa