• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla akutana na Wenyeviti wa Mitaa na Watendaji Kata Kuweka Mikakati ya Kufanikisha Zoezi la Sensa Agosti 23

Posted on: August 16th, 2022

 


- Amuhakikishia Rais Samia na Kamisaa wa Sensa kuwa Dar es salaam itafanya Vizuri.

- Ataka Mabalozi wa Mitaa kushirikishwa kujenga hamasa.

- Wenyeviti wa Mitaa wamuahidi hawatomuangusha.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla Leo amekutana na Wenyeviti wa Mitaa na Watendaji wa Kata na Mitaa kwaajili ya kuweka mipango thabiti ya kuhakikisha Zoezi la Sensa ya watu na Makazi linafanyika kwa ufanisi mkubwa na mafanikio makubwa Jijini humo.

Akizungumza na Watendaji hao, RC Makalla amewaelekeza kutumia siku chache zilizosalia kutambua mipaka ya maeneo yao ili waweze kuwaelekeza Makarani wa sensa.

Aidha RC Makalla amesisitiza wahusika wa zoezi Hilo kutumia lugha nyepesi na yenye ushawishi kwa Wananchi wa Makundi maalumu ikiwemo Watoto wa mitaani, Ombaomba na watumiaji wa dawa za kulevya ili watoe ushirikiano.

Kuhusu suala la ulinzi na usalama wakati wote wa zoezi, RC Makalla amewahakikishia kuwa Vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga vizuri kuhakikisha hakuna dosari wala uhalifu utakaojitokeza.

Pamoja na hayo RC Makalla amesema ana Imani kubwa na Watendaji wa Kata na Mitaa kwakuwa hawajawahi kumuangusha kwenye jambo lolote hivyo amemuhakikishia Rais Samia na Kamisaa wa Sensa kuwa Dar es salaam itafanya Vizuri.

Kwa upande wao Wenyeviti na Watendaji wa Kata na Mitaa wamemuhakikishia RC Makalla kuwa watahakikisha wanalibeba kwa umakini zoezi Hilo na kuhakikisha linafanikiwa

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa