• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC MAKALLA AIPONGEZA MANIAPAA YA UBUNGO KWA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA

Posted on: December 14th, 2022

 - Ashuhudia Madarasa 27 yakiwa yamekamilika na 54 yapo hatua za mwisho.

- Asema Dkt. Samia Ameleta fedha nyingi Za miradi wataendelea kumshukuru Na kumpongeza

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameonyesha kuridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Wilaya ya Ubungo ambapo ameshuhudia Vyumba 27 vya Madarasa Kati 81 Vikiwa vimekamilika na vyumba 54 Vikiwa hatua za mwisho kukamilika.

Akizungumza wakati wa mwendelezo wa ziara ya ukaguzi wa Ujenzi wa Madarasa Wilaya ya Ubungo, RC Makalla amepongeza Halmashauri hiyo Kwa Kasi ya Ujenzi waliyoonyesha na kuwataka Kuhakikisha kabla ya Disemba 25 Madarasa yote yanakamilika Kama walivyoahidi.

Aidha RC Makalla amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha fedha zaidi ya Shilingi Bilioni 1.62 kwaajili ya Ujenzi wa Madarasa 81.

Pamoja na hayo RC Makalla amemuhakikishia Rais Dkt. Samia kuwa kiasi Cha Shilingi Bilioni 12.3 kwaajili ya Ujenzi wa Madarasa 618yatakamilika kwa wakati ili kila Mwanafunzi asome katika Mazingira Bora.

Katika ziara hiyo RC Makalla ametembelea Shule Mpya ya Kata ya Mbezi itakayohudumia watu wa Msigani na Goba pamoja na Shule ya Kiluvya

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa