• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Afungua Hotel ya Kisasa Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Posted on: November 15th, 2022

 

- Ni hotel ya ubia katika ya Halmashauri ya Ubungo na Mwekezaji

- Amshukuru Rais Samia kutoa Bilion 50 kuwezesha ukamilishaji stendi ya Magufuli.

- Ataka makubaliano ya mkataba kuzingatiwa.

- Ataka hotel kuendeshwa kibiashara na kuonya "Vimemo"

- Akemea Wizi na uharibifu wa Vifaa Kituo Cha Magufuli

- *Halmashauri ya Ubungo yatakiwa kushirikiana na Wadau kuboresha mandhari ya Kituo Cha Magufuli.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amezindua Hotel ya kisasa iliyopo ndani ya Kituo kikuu cha mabasi Cha Magufuli kwaajili ya wageni wanaoingia na kutoka kwenye Kituo hicho.

Akizindua hotel hiyo, RC Makalla ameelekeza hotel kuachwa ijiendeshe kibiashara ili kukuza mapato kwa Halmashauri ya Ubungo na kukemea watu kulala kwa "Vimemo".

Aidha RC Makalla ametaka uendeshaji wa hotel hiyo kuzingatia makubaliano ya kimkataba na uwazi katika kila kitu.

Hoteli hiyo Ina idadi ya vyumba 38 ambavyo vikijaa vyote itaingiza Shilingi Milioni 1.1 kwa siku, Milioni 30 kwa mwezi na Milioni 421 kwa Mwaka ambapo Halmashauri ya Ubungo itachukuwa Asilimia 60 na Mwekezaji Asilimia 40.

Pamoja na hayo RC Makalla ametumia Uzinduzi huo kukemea Wizi na uharibifu wa Vifaa kwenye hotel huku akielekeza Halmashauri ya Ubungo kutafuta Wadau watakaoboresha mandhari ya nje ya Kituo Cha Magufuli ikiwemo Ujenzi wa bustani na sehemu za kupumzika kulingana na hadhi ya Kituo

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa