• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Aadhimisha Sikukuu ya Muungano Kwa Kufanya Usafi Hospitali ya Taifa Muhimbili

Posted on: April 26th, 2022

-Aongoza makundi mbalimbali, Bodaboda, wanafunzi, Viongozi na watumishi wa Muhimbili kufanya usafi

- Ahamasisha Uchangiaji wa damu na Chanjo ya Uviko-19

Kufuatia Maadhimisho ya Sikukuu ya Miaka  58 ya Muungano wa Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla ameongoza makundi mbalimbali kufanya usafi katika hospitali ya Muhimbili huku wananchi wa maeneo mengine ya Mkoa huo wakifanya Usafi katika vituo vya Afya vya karibu yao.

RC Makalla akiongea baada ya zoezi hilo amesema Mkoa umeamua kuadhimisha Sikukuu ya Muungano kwa kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya kutolea huduma za afya katika Mkoa ikiwa ni muendelezo wa Kampeni ya Usafi " SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM"

Aidha Mkuu wa Mkoa baada ya kupokea taarifa ya uchangiaji damu ambayo imekuwa ni 80% na inashuka hadi kufikia 50% amehamasisha uchangiaji wa damu kuwezesha kuwepo kwa akiba ya damu  ili kuokoa maisha ya wahitaji

Sambamba na hilo RC Makalla amewataka wananchi kuchanja chanjo ya Uviko-19 kwa kuwa taarifa ambazo anapokea Ofisini kwake kila siku zinaonyesha Ugonjwa upo na ukifuatilia wengi wanaougua na kuwa katika hatari zaidi ni wale ambao hawajachanja, hivyo "Ujanja ni Kuchanja" Alisema RC Makalla
Baada ya zoezi hilo la usafi washiriki wameendelea kuchangia damu na kuchanja chanjo ya Uviko-19




 

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa