• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla A mpongeza Rais Samia kwa Kutoa Pesa za Kutekeleza Miradi ya Maendeleoa Kinondoni

Posted on: April 12th, 2022

RC Makalla akikagua Maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari Kunduchi- Kinondoni


- Maeneo yaliyokuwa na changamoto ya Huduma ya Afya na Elimu Kinondoni sasa yapata Huduma hizo

- Awaomba wananchi husika kutoa Ushirikiano ili kazi ikamilike kwa wakati na kuitunza Miradi hiyo

-Ataka Migogoro ya Ardhi ya Nyakasangwe na Mabwepande ifike mwisho

-Kuhusu Mgogoro wa Barabara  Salasala Buyuni- RC Makalla amewataka DC, My Fair, Opec kukutana ofisini kwake Alhamisi

-Kwa upande wa zoezi la Anuani za Makazi awapongeza Kinondoni na kutaka Halmashauri nyingine zifanye vizuri

-DC Kinondoni akiri kupokea na kutekeleza maelekezo yote sambamba na kusimamia Miradi hiyo ili pesa iendane na kazi husika

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla leo tarehe 11 Aprili 2022 amefanya ziara katika Wilaya ya Kinondoni ili kujionea Miradi mbalimbali ya Maendeleo  inayotekelezwa katika Wilaya

Akiwa Katika Wilaya hiyo RC Makalla amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Kuupiga mwingi katika utekelezaji wa Miradi hiyo ambapo zaidi ya Bilioni nane zimeelekezwa ili Kujenga Madarasa na Shule za Sekondari Dar es Salaam ikiwemo Kinondoni

Katika Ziara hiyo *Mkuu wa Mkoa* amejionea maeneo yaliyokuwa na changamoto ya Huduma ya Afya na Elimu Kinondoni sasa yamepata Huduma hiyo na kuwafanya wananchi kuendelea kuweka Imani kwa Serikali ya Awamu ya Sita

Aidha, RC Makalla amewaomba wananchi husika kutoa Ushirikiano kwa wakandarasi ili Miradi inayotekelezwa iweze kukamilika kwa wakati

Kuhusu Migogoro ya Ardhi ya Nyakasangwe na Mabwepande  Mkuu wa Mkoa ametaka utekelezaji wa mapendekezo tume iliyoundwa kufanya kazi hiyo na kumaliza kazi yake

Hata hivyo katika Mgogoro wa Barabara ya Salasala Buyuni Mkuu wa Mkoa amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, My Fair, Opec na wajumbe husika kufika ofisini kwake siku ya alhamisi kulizungumzia suala Hilo  huku wananchi wakipata njia ya kupita na Kuomba wananchi wawe watulivu na kutoa Ushirikiano ili Jambo hilo limalizike vema

Kwa upande wa Zoezi la Anuani za Makazi RC Makalla amewapongeza Wilaya ya Kinondoni kwa kufanya vizuri kiwilaya na kutaka Wilaya zingine kuongeza bidii sambamba na Kuifanya Ajenda ya Anuani za Makazi kuwa ajenda ya kila asubuhi kabla ya kufanya Jambo lolote

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Godwin Gondwe akiri kupokea maelekezo yote na kuahidi kuyafanyia kazi sambamba na kusimamia Miradi hiyo ya Maendeleo ili pesa iliyotengwa iendana na Mradi ( kazi) husika

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • RC Makalla Apongeza Mahakama Utatuzi wa Migogoro kwa Usuluhishi

    February 01, 2023
  • RC Makalla Atoa Vipaumbele kwa Wakuu Wapya wa Wilaya za DSM

    January 31, 2023
  • RC Makalla Apiga Marufuku Biashara kwenye Barabara ya Mwendokasi Mbagala

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa