• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Wazee ni Tunu Serikali ya Mkoa Inatambua Umuhimu Wenu.

Posted on: October 19th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Oktoba 19,2023 amekutana na kufanya mazungumzo na wazee wa Mkoa huo ikiwa ni utaratibu aliojiwekea wa kukutana na Wazee hao kuwasikiliza na kuzipatia majawabu kero na Changamoto wanazokutana nazo katika maisha yao ya kila siku.

Akiongea na Wazee hao katika Ukumbi wa Mikutano Iddy Nyundo Manispaa ya Temeke RC Chalamila amesema Wazee ni tunu hakuna anayepinga hata sisi Viongozi tunaongozwa na busara za Wazee, Wazee wakikengeuka vijana watakua katika hatari zaidi ya kupotoka kimaadili hatimaye kuwa na Taifa la watu wa ovyo.

Hivyo "Niwaombe Wazee wa DSM kwanza kuwa Kielelezo kizuri cha kuhakikisha mnakuwa pamoja na Mhe Rais Dkt Samia pia kuwa Kielelezo cha Sala na Dua ambayo itawezesha kutambua baya na jema kwa masilahi mapana ya watu walio wengi na Taifa". Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila amesema anatambua kuwa wazee wanachangamoto nyingi ambazo kwa siku ya leo ni vigumu kueleza zote amewahakikishia yeye na walio chini yake watakuwa watumishi wao nyakati zote, hivyo siku za karibuni atatoa ratiba ya kuzungumza na wazee wa Mkoa huo kwa muda mrefu zaidi ili kila mmoja apate nafasi ya kuzungumza.

Sambamba na hilo amewataka kuwa wasuluhishi wazuri, pia vijana waelimishwe kutafuta fursa, kuthubutu na sio kulalamika, Rais Dkt Samia ameendelea kuifungua nchi wawekezaji wengi wanakuja vijana watumie fursa hiyo vizuri.

Mwisho Wazee wamemshukuru RC Chalamila kwa kuwa kiongozi wa kipekee ambaye anathmini Wazee pia wamemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa huo amekua faraja kubwa kwao, na wanaimani nae kubwa katika kutatua kero zao ikiwemo kupatiwa bima ya afya na kuwa na dirisha maalum Hospitalini vilevile wapatiwe maeneo maalum katika kila Wilaya ambayo Wazee watakutana kwa lengo la kujenga umoja miongoni mwao.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa