• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Wananchi Jitokezeni Kumuaga Rais wa Awamu ya Pili Hayati Mwinyi

Posted on: March 1st, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Machi 01,2024 akiongea na vyombo vya habari Ofisini kwake Ilala Boma amewaomba wananchi hususani wakazi wa Mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika barabara ambazo mwili huo utapita na uwanjani ambako mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi utaagwa rasmi.

RC Chalamila ametaja njia ambayo mwili wa Hayati utapitishwa ukitokea Mikocheni, utapelekwa Kinondoni Bakwata kwa ajili ya Dua ambayo itaongonzwa Shekh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber, ukiwa inaelekea uwanja wa Uhuru, utapita  Kinondoni- Kigogo- Ilala Boma-Veta-DUCE hadi Uwanja wa Uhuru-Temeke

Aidha RC Chalamila amesema kuanzia Saa 2:00 Asubuhi uwanja wa Uhuru uko wazi wananchi waingie ili kuaga mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili.

Pia RC Chalamila ametangaza kusitisha kwa shughuli za Serikali katika Mkoa ili watumishi, wanafunzi na makundi mengine waweze kushiriki kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya pili katika uwanja wa Uhuru

Sambamba na hilo RC Chalamila amesema Mkoa uko Shwari Usalama uko imara vyombo vyote vya usalama viko imara " maombolezo ni siku 7 kama Mhe Rais Dkt Samia alivyotangaza tuendelee kumuombea Mzee wetu Hayati Ali Hassan Mwinyi" Alisema RC Chalamila

Mwisho: Hakika Sisi Wote ni Wa Mwenyezi Mungu, na Kwake Tutarejea

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa