• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Wafanyabiashara Waliofungua maduka Kariakoo wasishinikizwe Kufunga maduka yao

Posted on: June 24th, 2024

 

-Asema falsafa ya Mhe Dkt Samia ni kutatua migogoro kwa kukaa mezani pamoja 

-Asisitiza kamwe migogoro haiwezi kusuluhishwa kwa mashinikizo 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 24,2024 amefika eneo la Kariakoo maarufu kwa shughuli mbalimbali za kibiashara jijini humo kwa lengo la kujionea hali halisi kufuatia mgomo wa wafanyabiashara ambapo amejionea baadhi ya maduka yakiwa yamefungwa na mengine yamefunguliwa 

RC Chalamila amesema eneo hilo lina amani na usalama wa kutosha ambapo amewataka wafanyabiashara waliofungua maduka kuendelea kufanya biashara kwa uhuru kamwe asitokee mtu hata mmoja kushinikiza waliofungua wafunge maduka yao. 

Aidha RC Chalamila amesema Falsafa ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni kutatua migogoro kwa kukaa mezani pamoja ambapo akasema hata sasa ninavyoongea viongozi wa wafanyabiashara tayari wako Dodoma kwa lengo la kupata Suluhu za changamoto za wafanyabiashara hivyo kufunga maduka ni kukosa uvumilivu alisisiza RC Chalamila 

Vilevile RC Chalamila ametoa rai kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kutatua migogoro kwa kukaa mezani pamoja na Serikali kamwe migogoro haiwezi kutatuliwa kwa mashinikizo ni vema kuilinda Dar es Salaam kwa nguvu zote kwani amani ikitoweka hakuna mkoa mwingine ambao wataweza kufanya biashara 

Mwisho RC Chalamila amewahakishia wafanyabiashara wote wa Kariakoo waliofungua na waliofunga kuwa eneo hilo ni salama ulinzi ni wakutosha wanaofanya biashara waendelee kufanya bishara zao kwa uhuru


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa