• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Uso kwa Uso na Wananchi wa Zingiziwa, Atatua Kero hadi Usiku

Posted on: November 20th, 2023

 

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Albert Chalamila  leo Novemba 20,2023 amefanya Mkutano mkubwa wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Singiziwa-Chanika jijini Dar es Salaam ambapo amesikiliza kero na kuzipatia majawabu hadi usiku.

RC Chalamila akisikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wananchi hao amekemea tabia ovu za vijana maarufu kwa jina la Panya Road,  ambazo zinahatarisha maisha ya watu na kuwafanya kuishi kwa wasiwasi.

hivyo wakati akizungumza kwenye mkutano huo  amesema hao vijana wamekuwa tishio kwa usalama wa wananchi na mali zao hivyo kutakuwa na oparesheni maalum itakayofanyika baadhi ya maeneo ambayo vijana hao hatari hutumia kama "maskani" yao lengo likiwa ni kujenga Dar es salaam na Tanzania yenye amani.

"Kutakuwa na oparesheni maalum ambayo itapita kwenye baadhi ya maeneo ambayo tunajua ndio maskani ya panyaroad iliwahi kutokea vingunguti alikuwa kibaka mmoja ambaye tulikuwa tunamuita panyaroad mwandamizi alipouliwa wenzake wakatoka huku Chanika wakaenda kufanya fujo Vingunguti kwanini mwandamizi wetu ameuliwa lakini nashukuru sana Mungu kama mapambio waliyaimba vizuri," alisema Mhe Chalamila.

Akiendelea kusikiliza kero mbalimbali za wananchi hao Mhe. Chalamila alibaini matatizo makubwa yanayowakabili wananchi hao zikiwemo barabara, shule, huduma mbaya vituo vya afya, maji, umeme, migogoro ya ardhi, mwongozo wa soko la wamachinga, matatizo kijamii na familia huku RC Chalamila akibaini  uwepo wa vitendo vya kikatili wanavyokumbana navyo watoto, ushoga na madanguro.

Aidha wananchi hao walimuomba Mkuu wa Mkoa huyo kuwasaidia kutatua kero zao sababu ni muda mrefu wanahangaika, ambapo baada ya kusikiliza kero hizo aliwataka viongozi wenye mamlaka na idara husika kujibu kero hizo sababu lengo ni kupata ufumbuzi wa kila kero.

Wakiongozwa na mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe Edward J Mpogolo viongozi hao walitoa majibu ya baadhi kero na kuahidi kushughulikia na kutatua kero zilizohitaji ufuatiliaji zaidi

Kwa kumalizia Mhe Chalamila alisema matatizo  na alitoa rai kwa viongozi kutembelea maeneo yao mara kwa kuepuka matatizo kuwa sugu, na aliwaasa wazazi wawe makini na makuzi ya watoto kuepuka taifa lenye vijana na viongozi wasiojielewa hapo badae ikiwa watajiingiza kwenye makundi ya panya road au ushoga.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa