• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Tusiwe Wepesi Kuhukumu Makosa ya Mtu bila Kujua Historia yake

Posted on: December 12th, 2024

 

-Asema Manabii na Viongozi wengine wa Dini wana nafasi kubwa katika Jamii.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Disemba 12 amehudhuria mkutano wa kila mwaka wa Kitaifa wa viongozi wa kiroho ( The Annual National Leaders Prophetic Meeting) uliofanyika katika ukumbi wa The Supper Dom Masaki akiwa mgeni rasmi.

Akiongea na waandishi wa Habari wakati wa Mkutano huo RC Chalmila alisema katika maisha ya kila siku tusiwe wepesi wa kuhukumu makosa ya mtu yeyote pasipo kujua historia yake kwa kuwa kila mmoja wetu amezaliwa na kupata makuzi katika mazingira tofauti, yuko ambaye kazaliwa na kupata makuzi katika mazingira ya kidini na mwingine mazingira ya wizi " Kule njombe mtu anazaliwa haijui kabisa chai, lakini anaujua ulanzi na anakunywa" Aliseama RC Chalamila

Hivyo viongozi wa Dini ndio watu walioko katika mazingira salama zaidi na wana msaada mkubwa katika kuibadilisha jamii dhidi ya mienendo na tabia  zisizofaa ambapo ametoa wito kwa kila mmoja katika maisha ya kila siku ni vizuri kuchimba historia ya mtu kabla ya kumhukumu.

Aidha Mkutano huo wa kiroho licha ya kuwa na viongozi mbalimbali wa Dini hapa nchini umehudhuliwa na Prophet Elvis Mbonye kutoka Nchi ya Uganda ambaye alipata wasaa wakuliombea Taifa la Tanzania pamoja na Rais Dkt Samia Suluhu Hassani.

Mwisho RC Chalamila ametoa rai kwa viongozi wa Dini kupitia kongamano hilo kumwombea Mhe Rais Dkt Samia ili aendelee kuliongoza vyema  Taifa la Tanzania kwa masilahi mapana umma na ustawi wa jamii kwa ujumla

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa