• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila TASAF Mwarobaini wa Umasikini katika Jamii

Posted on: December 22nd, 2023

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amesema TASAF imekua mkombozi mkubwa wa kuondoa umasikini katika Jamii watu wengi wamebadili maisha yao, pia ni ukweli usiopingika kati ya programu nyingi zilizoanzishwa kwa lengo la kupunguza umasikini miongoni mwa jamii TASAF ni ya mfano.Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo mapema leo Dsemba 22, 2023 katika kikao cha tathmini cha utekelezaji mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF) kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
RC Chalamila alisema TASAF imekuwa msaada mkubwa sana katika kuboresha kaya maskini kwenye nyanja anuai kama vile huduma za elimu, afya na kuinua watu kiuchumi hivyo TASAF inatakiwa kuwafikia walengwa wengi zaidi waliokusudiwa.

Pia RC Chalamila amewaasa waratibu na wataalam wengine wa TASAF kuwajengea utambuzi wanufaika wao kwa kuwa pesa hazikamilishi maisha ya mwananadamu na kuna wengine wanatakiwa kunufaika, "Kama mtoto atapata ajira, akaajiriwa halafu akaruhusu mzazi wake aendelee kuwa kwenye TASAF maana yake kijana huyo anahitaji viboko mbele ya mzazi wake."Vilevile RC  Chalamila alisema kuna muhimu kwa wanafaika wahusishwe katika vikao kama hivyo ili wapate kujua kinachoendelea na aliwahimiza viongozi wawe na nidhamu za kiutumishi na pesa zinazotolewa zipelekwe kwa walengwa hayo ndio matarajio ya  Mhe Rais Dkt Samia Suluhu na sio vinginevyo

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa