• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila "Piga kura Siku moja, Kula Bata Siku 3"

Posted on: November 25th, 2024

-Azindua tamasha maalum la Bata la Disemba na Heineken
-Asema tamasha likwenda sambamba na kuhamasisha wananchi matumizi ya Nishati safi ya kupikia.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amezindua tamasha kabambe maarufu kwa jina la ' Bata la Disemba' ambalo limeandaliwa na wazalishaji wa kinywaji cha Heineken kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.


RC Chalamila akizindua tamasha hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini humo amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Novemba  27,2024. " Piga Kura Siku moja, kula bada siku 3 akiwa na maana kuwa watu watumie vizuri siku ya tarehe 27, 2024  kuhakikisha wanapiga kura baada ya hapo wasubiri Bata la Disemba katika viwanja vya Leaders kuanzia Disemba 6 hadi 8, 2024" Alisema Chalamila.
Aidha RC Chalamila amesema tamasha hilo litakwenda sambamba na kuhamasisha wananchi kutumia Nishati safi ya kupikia ambapo mitungi zaidi ya 1000 itagawiwa kwa kina mama lishe na Baba lishe.
Ifahamike kuwa kupitia Canival hiyo mitaa yote ya Mkoa wa DSM itachangamshwa na muziki, chakula, burudani na bila shaka kwa mpango ulioratibiwa na bia bora zaidi ya Heineken.
Canival hilo sio tu litaleta furaha kwa wakazi lakini pia litavutia wageni kutoka kote, kanda na kwingineko ikivutia zaidi wahudhuriaji 10,000 kutoka kote Afrika Mashariki


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa