• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Mtaa kwa Mtaa usiku wa manane Hakuna Kulala

Posted on: October 22nd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila usiku wa kuamkia leo Oktoba 23,2024 amefanya ziara Wilaya ya Ilala na Kukagua maendeleo ya miradi mbalimbali inayotekelezwa saa 24 pia ametembelea na kufanya mazungumzo na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Azania na Jangwani Jijini Dar es Salaam.

Ziara ya RC Chalamila usiku wa manane inakwenda sambamba na dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ya  kufanya biashara saa 24 katika jiji la Dar es salaam ambapo Mhe Chalamila amekagua miundombinu mbalimbli ikiwemo ujenzi wa Barabara za mwendokasi BRT, uwekaji wa taa za barabarani ili kujua kama miundombinu iliyoko ni rafiki kutokana na dhamira ya Serikali ya kufanya biashara saa 24 ndani ya Jiji hilo.

"Mabasi ya Mikoani yanafanya kazi saa 24 na nchi jirani kama Kongo zinanunua bidhaa Kariakoo hivyo ni wakati muafaka kuweka mazingira ya Kibiashara katika jiji hii kufanyika saa 24 kwa masilahi mapana ya wananchi na Taifa kwa ujumla" Alisema Chalamila

Vilevile RC Chalamila akiwa katika mazungumzo na wanafunzi wa Shule ya Azania na Jangwani amewata wanafunzi kusoma kwa bidii kwa kuwa Rais Dkt Samia ameshawaboreshea mazingira ya kujisomea, pia kuchana kabisa na vitendo viovu kama kusagana na ushoga.

Sanjari na hilo RC Chalamila ameahidi kuwapatia zawadi lukuki ikiwemo mchele, ng'ombe na kutoa zawadi za mshindi wa kwanza katika mashindano ya mpira wa miguu na wa mikono kuanzia laki 2 na laki 3 kwa wavulana

Mwisho wa ziara ya usiku RC Chalamila alitembelea mradi wa ujenzi wa soko la Kariakoo lililojengwa kwa zaidi ya Bilioni 28 ghorofa kumi  ambapo mpaka sasa ujenzi umefikia asilimia 98, Soko Hilo linatarajiwa kufanya kazi masaa 24 mara baada ya kufunguliwa rasmi

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa