• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Maandalizi ya Kupokea Ugeni wa Marais wa Afrika yanaendelea Vizuri

Posted on: January 20th, 2025

 

Wakati Tanzania ikiwa inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Marais wa Afrika unaotarajia kufanyika Januari 27 na 28 mwaka huu kujadili masuala ya Nishati Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea maeneo muhimu kuelekea mkutano huo na kueleza kuwa maandalizi yamekamilika kwa zaidi ya aailimia 90.

Akizungumza leo Januari 20,2024 jijini Dar es salaam alipofanya ziara kuanzia eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl JK Nyerere akikagua barabara na usafi wa mazingira hadi kwenye kumbi za Karimjee na ukumbi wa kimataifa wa JNICC RC Chalamila amesema maandalizi yapo hatua za mwisho na kwamba Serikali mkoani humo inakamilisha kufunga taa za kisasa ili kuhakikisha jiji hilo linakua na mwanga wa kutosha

Aidha RC Chalamila amesisitiza suala la usafi na kupendezesha Jiji hilo ambapo amewataka wananchi kuhakikisha usafi unafanyika sio kipindi hiki cha ugeni bali iwe ni utamaduni wa kila siku vilevile kuwepo na bustani za miti na maua ili Mkoa huo uendelee kuwa kivutio kwa mikutano mbalimbali ya kimataifa na uwekezaji

Sambamba na hilo RC Chalamila ameongeza kuwa  baadhi ya barabara zitafungwa ili zitumiwe na wafanyabiashsara na wajasiriamali wa kitanzania ili kuonesha bidhaa mbalimbali za kiutamaduni zinazoitambulisha Tanzania kwenye mataifa mbalimbali yanayoshiriki mkutano huo huku akiweka msisitizo kwenye suala la kuendelea kudumisha amani na utulivu kwa nchi ili Tanzania iendelee kuwa kitovu cha amani na kuvutia wawekezaji

Mwisho RC Chalamila amezungumzia suala la magari kupaki kwenye hifadhi za barabara yaani road reserve ambapo amesema hilo ni kosa kisheria hivyo ameitaka TANROAD kushughulikia ili hifadhi za barabara zisitumike vibaya


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa