• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Kila Mwanamke Atambue Ana nafasi Kubwa kwa Taifa

Posted on: March 8th, 2024

- Asema mfano mzuri ni kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Machi 08, 2024 wakati akitoa hotuba ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Mkoa huo yaliyofanyika katika Uwanja wa Mji Mwema Wilaya ya Kigamboni.

RC Chalamila amesema tunapoadhimisha Siku ya tarehe 08 machi kila mwaka ni vema kutafakari nafasi ya mwanamke katika familia, Jamii na Taifa kwa Ujumla " Kila mwanamke atambue ana nafasi kubwa na muhimu Katika Taifa mfano mzuri ni Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni mwanamke hodari na mahiri kila mmoja anaona uongozi wake namna Taifa linavyo Songa mbele katika nyanja mbalimbali chini ya uongozi wake" Alisema RC Chalamila

Aidha amesema mwanamke ni Mwalimu, ni Daktari, ni Mchumi, ni Afisa Mipango, ni Afisa Uhusiano ni mbunifu ni mbeba maono na mengine mengi yanayofanana na hayo hivyo siku ya leo ni muhimu kutafakari hayo yote kwa masilahi mapana ya ustawi wa jamii.

Sambamba na hilo RC Chalamila amesema wanawake licha ya kuwa na mchango mkubwa katika makuzi ya uchumi na ustawi wa Jamii na Taifa kwa ujumla amekuwa akipitia makwazo na manyanyaso mengi katika jamii tena yanayosababishwa na wanaume au mifumo kandamizi katika jamii hivi kupitia maadhimisho haya ya leo ni vema wanawake kwa umoja wao kujiimarisha na kuikataa mifumo hiyo kandamizi.

Ifahamike kuwa kila ifikapo machi 8, kila mwaka Duniani kote wanawake huadhimisha maadhimisho hayo ambayo huambatana na maonesho ya bidhaa mbalimbali za wajasiliamali wazawa, katika Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amezindua pia Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi katika Mkoa huo

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa