• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Endeleeni Kuboresha Majukwaa ya Wanawakae Kiuchumi yalete Tija kwa Jamii

Posted on: November 24th, 2023

 

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Novemba 24,2023 wakati akifunga maonesho ya majukwaa ya mitaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi ngazi ya mitaa yaliyofanyika viwanja vya Biafra ya Kinondoni.

RC Chalamila amesema kupitia majukwaa kutawafanya wanawake wajasiriamali wafike mbali zaidi kiuchumi na wawe majasiri kwakuwa mwanamke akiwa na uchumi mzuri anajiamini pia ni chachu katika maendeleo ya familia na jamii kwa ujumla.

"Kama mlivyokuja hapa leo kuwezesha jambo hili, kila mmoja kwa nafasi yake ahakikishe anatoa mchango wake wa hali na mali kuhakikisha majukwaa haya yanakuwa na tija kubwa kwenu na kwa jamii ya watanzania. Msiishie tu kuyaunda na kusema tuna majukwaa 127," alisisitiza kwa wadau hao.

Vilevile Mhe Chalamila aliwatia moyo wajasiriamali waliohudhuria waendelee kupambana na kwamba mwanamke akishika rungu la kiuchumi familia nyingi zinapona a hivyo kila mwanamke afanye kazi zake.

Pia RC Chalamila alimshukuru Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye Muwasisi wa majukwaa haya  kwa kuboresha miundo mbinu ya kibiashara kwa akina mama ambapo amekuwa kiongozi wa kuigwa na ameuthibitishia ulimwengu kuwa hakuna linaloshindikana.

Naye mwenyekiti Taifa wa majukwaa ya uwezeshaji Wanawake kiuchumi  Bi. Fatuma Kange alitoa shukrani zake kwa Mhe Rais kwa fursa mbalimbali anazowapa huku akiahidi kushirikiana na wadau ili malengo yatimie na wafike mbali zaidi, vilevile waliomba kuanzishwe SACCOS ya wilaya ili waepukane na mikopo kausha damu na aliwasihi wajariamali kutumia kitandao ya kijamii kwa faida ikiwemo kutangaza bidhaa zao.

Baadhi ya wadau hao ni pamoja na CRDB, DCB, Azani, TRA, Brela, Polisi Dawati Jinsia na Watoto, Bunju Women Empowerment,  NMB, Huduma za Afya Kinondoni, Hapa Kazi tu,  Vijimambo, Makongo Juu, Tam Tam, Nguzo Yetu, Neema Chai na wengineo wakiwa  majukumu ya kuanzisha, kuendesha na kusimamia huku kauli mbiu ikiwa ni 'Uwezeshaji wanawake kiuchumi familia imara uchumi imara, kazi iendelee.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa