• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Azindua Teknolojia ya LED Screens Uwanja wa Azam FC

Posted on: August 16th, 2023

 

Akizindua Teknolojia hiyo ya LED screens katika uwanja wa Azam Football Club leo Agosti 16, 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameipongeza club hiyo kwa Teknolojia ya kisasa ambayo inaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya mpira na biashara hapa nchini na kuzifanya sekta hizi mbili kuwa kitu kimoja.

RC Chalamila amesema kampuni ya NATKERN ambayo ni kampuni ya kizawa inayojikita katika Teknolojia ya LED screens pamoja na Azam Football Club imetoa wigo mpana wa ushirikiano wa kibiashara na kuchangia katika kuingiza kipato kwa kampuni hizi mbili pamoja na kuongeza ajira nchini.

Aidha RC Chalamila amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Mh.Dkt Samia Suluhu Hassan itaendelea kuboresha na kutengeneza Mazingira mazuri yatakayo vutia uwekezaji wa aina mbalimbali ili kuendelea kukuza pato la Taifa

Hata hivyo RC Chalamila ametoa rai kwa club zingine kongwe za mpira hapa nchini kuja kujifunza uwekezaji wa Kidigitali uliofanywa Azam Football Club ambapo screen za kisasa zimewekwa kuzunguka uwanja huo ambazo zinawezesha matangazo ya biashara kuonyeshwa wakati mpira unachezwa kwa aliye ndani ya uwanja na majumbani hivyo watazamaji wengi wataweza kufuatilia matangazo na mchezo wa mpira kwa wakati mmoja.

Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa Azam FC Ndg Abdukarim Nurdin amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kutenga muda wake kuungana na club hiyo katika Uzinduzi wa Teknolojia hiyo ya Kidigitali, hivyo ni wakati muafaka sasa kwa wafanyabishara, Taasisi na Sekta za Umma kutumia fursa hiyo kutangaza biashara na huduma zinazotolewa kwa kuwa Teknolojia hiyo ina uwezo wa kufikisha ujumbe katika idadi kubwa ya watu kwa wakati mmoja.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa