• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aungana na Kampuni ya Simu Halotel Kufanya Usafi

Posted on: December 23rd, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameungana na kampuni ya simu Halotel kufanya usafi katika Soko la Makumbusho Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila ameshiriki usafi wa pamoja na wafanyabishara wa soko hilo leo Desemba 23,2023 na kisha alipata wasaa wa kuzungumza na wafanyabishara wa soko hilo.

Akizungumza katika Soko hilo RC Chalamila ameagiza kila jumamosi katika masoko yote ya Mkoa huo kuanzia sasa kila jumamosi ya wiki ufanyike usafi wa pamoja ambapo ameelekeza usafi  ufanyike mapema ili kutoa fursa ya biashara kuendelea.

Aidha RC Chalamila amewashukuru viongozi wa Wilaya ya Kinondoni akiwemo Mhe Mbunge Abas Tarimba, Mstahiki Meya, Katibu Tawala wa Wilaya, Diwani wa Kata ya Makumbusho na wafanyabishara wote pamoja na Watu wengine walioshiriki kwa wingi katika zoezi hilo.

Vilevile ametoa shukrani kwa Kampuni ya simu ya Halotel kwa kuona umuhimu wa kushiriki kufanya usafi ambapo ametoa rai kuendelea kufanya hivyo katika maeneo mengine pia amewaomba kusaidia vifaa vya usafi(Dustbin) ambavyo vitawekwa katika soko hilo " Usafi unasaidia kujikinga na milipuko ya magonjwa ambayo gharama yake ni kubwa sana" Alisema RC Chalamila.

Mwisho RC Chalamila amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anawapenda sana ni ukweli usiopingika kila mmoja wetu anaona dhamira yake kwa Taifa nitoe rai kuendelea kumuunga mkono.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa