• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atoa Taarifa kwa Umma Kuhusu Kongamano la Mifumo ya Chakula Afrika 2023

Posted on: September 1st, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 1, 2023  ametoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari katika Ukumbi wa Mikutano JNICC kuhusu kufanyika kwa Kongamano la mifumo ya Chakula Afrika (AGRF SUMMIT 2023- Tanzania) Jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere (JNICC)

RC Chalamila akiongea na Waandishi wa Habari amewataka wakazi wa Mkoa huo na Watanzania wote kwa Ujumla kutumia nafasi hii vizuri kwa ajili ya kujipatia uzoefu na ujuzi katika sekta ya kilimo, mifugo, uvuvi, Biashara uwekezaji na kujifunza matumizi ya Teknolojia za Kisasa Katika kufanya kazi hizo kwa urahisi na tija na hatimaye kufikia malengo ya nchi na maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kuzalisha mazao ya kutosha na ziada kulisha Afrika na ikibidi Dunia lakini pia kutekeleza ajenda ya Dunia ya kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi yanayozidi kuongezeka siku hadi siku kote Duniani ili kwa pamoja tuweze kunusuru nchi yetu.

Aidha RC Chalamila amesema Mkoa wa Dar es Salaam umebahatika kuwa mwenyeji wa jukwaa la Mkutano wa mifumo ya Chakula Afrika 2023 litakalo anza tarehe 4-8 septemba 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC ambako Uzinduzi wake ulifanyika Ikulu ya Dar es Salaam na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania machi 7,2023 na kilele cha Kongamano hilo kitakuwa septemba 7,2023 siku ya Alhamis kuanzia saa 4:00 Asubuhi

Jukwaa la mifumo ya Chakula Afrika pamoja na mambo mengine ni jukwaa linalojadili maendeleo ya kilimo na Usalama na mifumo ya chakula barani Afrika, hii ikiwa ni mara ya pili nchi yetu inabahatika kuwa mwenyeji, hadi kufikia leo ma Rais 5 wa nchi za afrika wamethinitisha kuhudhuria na watu takribani 2000 wamejisajili kishiriki Mkutano huo, kupitia vyombo Habari Mhe Chalamila ameuhakikishia  umma kuwa Mkoa uko tayari kuwapokea Viongozi na wageni wote watakaoshiriki katika Kongamano hilo, pia umejipanga vizuri katika masuala ya usalama, Malazi na huduma mbalimbali kulingana na Mkutano huo.

Mwisho Mtendaji Mkuu wa JNICC Bwana Ephraim Mafuru amesema maandalizi ya Mkutano huo hadi sasa yamekamilika katika nyanja zote

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa