• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atoa Rai kwa Viongozi wa Dini Kuiombea Serikali

Posted on: October 25th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar  es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema Serikali  inategemea maombi ya Viongozi wa Dini, kupitia Sala na Dua za Viongozi wa Dini na Wachungaji ndipo tunapata Viongozi wa Serikali wenye hofu ya Mungu.

RC Chalamila amesema hayo mapema leo Oktoba 25,2023 katika Kongamano la Siku tatu (3) la Viongozi wa Dini na Wachungaji wa makanisa ya Kipentekoste Mbezi Beach kwa Zena Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Mhe Albert Chalamila akiwa katika Kongamano hilo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan  amesema Mhe Rais yuko nje ya nchi alitamani awepo na nyinyi  leo, "amenituma nije kwa ajili yake anawasalimu sana Pia anawatakia Kongamano jema  lenye mafanikio, Serikali iko pamoja nanyi" Alisema Chalamila

Aidha Mhe  Mkuu wa Mkoa amesema Kongamano hilo liwe kuchocheo cha kuwafanya Viongozi wa Dini na Wachungaji kujiimarisha katika Uinjilishaji, kuongoza kwa haki,  usuluhishi na utatuzi wa migogoro, kuubiri neno na kuliishi na mengine mengi yanayofanana na hayo. " Niwaombe wakati wote kuendelea kuiombea Serikali hasa pale inapokua na dhamira njema katika uwekezaji saa nyingine huchelewa kutafsirika vizuri kwa watu ndipo wale wenye nia ovu kwa Serikali hupata nafasi ya kupotosha" Amesistiza RC Chalamila

Mwisho Askofu wa Kanisa hilo Stella mate amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kushiriki nao katika kongamano hilo ambapo amemuomba kupeleka Salamu za shukrani kwa Mhe Rais pamoja zawadi ya tuzo na vitabu kwa ajili ya Rais Dkt Samia Suluhu vilevile RC Chalamila amepatiwa tuzo na vitabu pia.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa