• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Ataka TRA Kufanya Operesheni Maalum ya Elimu kwa Mlipa Kodi

Posted on: December 18th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila ametoa maagizo hayo leo Desemba 18, 2023 wakati wa mkutano maalum wa kimkakati na watumishi wa TRA katika Ukumbi wa Suma JKT, Mwenge-DSM.

RC  Chalamila alisema kodi ni chanzo cha mapato serikalini  hivyo aliwataka mameneja na maafisa wa TRA kwa ujumla wao kufanya kazi zao kwa weledi, kufuata sheria na kutoa elimu kwa umma ili kila mtu ajue umuhimu wa kulipa kodi kwa hiyari bila shuruti yoyote kwa masilahi mapana ya mtu mmoja mmoja naTaifa la Tanzania.

"Kwa mfano wanafunzi wa darasa la kwanza mpaka chuo kikuu leo katika mkoa wa DSM napokea si chini ya bilioni 1.2 kila mwezi kama ada na posho kwa walimu. Maana yake TRA tusipokusanaya kodi hii kwa mujibu wa sheria watoto hawa hawatapata huduma hizo," alisema RC Chalamila.

Aidha RC Chalamila amewahimiza watumishi hao kufuatilia mashine EFD sababu kuna wafanyabiasha wengine huamua wao wazitumie au wasizitumie, "Hebu mahali popote ambapo hakuna matumizi ya namna hii tuendelee kuwa wakali."

Mhe Chalamila alitoa rai kwa wafanyabiashara walipe kodi kwa hiyari kwa mujibu wa sheria zilizopo na wasisubirie nguvu ya polisi itumike, "Uwekezaji unaokwepa kodi haustahili kwenye nchi," alisistiza.

Vilevile RC alisema kipindi kijacho ni kipindi cha chaguzi hivyo aliwaasa watumishi waendelee kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria bila kukatishwa tamaa na wanasiasa  kwakuwa kodi ndizo hutumika kufanya maendeleo na kupitia hayo maendeleo ndiyo kura kwa chama

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa