• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Ashiriki IFM Alumin Marathon

Posted on: November 19th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Novemba 19,2023 ameshiriki IFM Alumin Marathon ambayo imeandaliwa na Watumishi na Wanafunzi waliosoma katika chuo hicho cha Usimamizi wa fedha ambao kwa sasa wanafanya kazi maeneo mbalimbali hapa nchini.

Akiongea mara baada ya kukimbia umbali wa kilometa 5 Mhe. Chalamila amekipongeza chuo hicho kwa kubuni matembezi hayo ambayo mapato yanayopatikana yanatumika katika maendeleo ya Chuo. "Jambo linalofanywa na IFM ni la Kizalendo nitoe rai kwa vyuo vingine kuiga mfano huo wa kibunifu ambao una masilahi mapana sio tu kwa chuo bali hata Taifa kwa ujumla" Alisema RC Chalamila

Aidha amewataka kufanya maboresho katika matembezi hayo kwa kushirikisha makundi mengi zaidi kwa mfano kundi la jogging ili kuweza kusambaza ujumbe ufike mbali zaidi, vilevile ametoa Salamu za Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambapo amesema Rais anawasalimu na anafurahishwa na kitendo hiki cha kutambua umuhimu wa mazoezi katika Afya ya Binadamu.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Ofisi ya Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ambaye pia ni mwenyekiti wa umoja huo alishiriki mbio hizo kwa umbali wa kilomita 5.Dkt. Yonazi amesema kuwa marathon hiyo imehusisha watu ambao walisoma IFM, na marafiki ili kuleta umoja wa wana IFM na kuongezea kuwa mbio hizo huchangia maendeleo ya Chuo na Taifa, pia amewashukuru wadhamini wote waliojitoa kwa hali na mali kuwezesha kufanyika kwa mbio hizo.

Naye Mkamu Mkuu wa chuo hicho Dkt. Mnzava amemshukuru Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa kwa kuungana nao katika mbio hizo ambapo amesema ni tukio la kihistoria na ni mara ya kwanza toka chuo kianze mwaka 1972, amemhakikishia Mkuu wa Mkoa kuendeleza mbio hizo, kwa kuhamasisha makundi mbalimbali kushiriki kwa kuwa mazoezi ni Afya kama kauli mbiu inavyosema " Badili Mwenendo Wako wa Maisha kwa Afya Bora

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa