• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Asherekea Siku ya Kuzaliwa kwa Kutoa Zawadi Vituo 5 vya Makao ya Watoto

Posted on: May 3rd, 2024

 

-Awataka wamiliki wa vituo hivyo kutumia vile wanavyovipata kwa ajili ya watoto na si vinginevyo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 3, 2024 amesherekea siku ya kuzaliwa kwake kwa kutoa zawadi katika vituo vitano vya makao ya kulelea watoto, tukio ambalo amelifanya katika kituo cha makao ya watoto CHAKUWAMA kijitonyama Wilaya ya Kinondoni.

RC Chalamila ametoa zawadi mbalimbali ikiwemo Sukari, mafuta ya kula, tende, unga, tambi, kanzu, taulo za watoto pamoja na ahadi ya Tsh 1,000,000/= kwa kila kituo kati ya vituo  vitano

" Ni kweli siku ya jana Mei 2, ilikuwa Siku yangu ya kuzaliwa hivyo nimeona leo niwatembelee watoto katika vituo hivi vitano kwa lengo la kuwasalimu na kuwatia moyo lakini pia tambueni kuwa Rais Dkt Samia anaguswa sana na makundi ya watoto wenye mahitaji maalum" Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila ametoa rai kwa wamiliki vituo vya makao ya watoto kuhakikisha kila wanachokipata kuelekeza kwa watoto na iwe kama sadaka sio vinginevyo.

Sambamba na hilo RC Chalamila amesema kumekuwa na lugha ya watoto wa mtaani lakini ni ukweli usiopingika hakuna mtaa unaozaa mtoto bali watoto wengi hutelekezwa na wengine kufiwa na wazazi wao lakini ndugu zao wapo, pamoja na hayo yote bado hatuwezi kuwaacha watoto hao wakiteseka

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa