• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aridhishwa na Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kisasa Mvuti

Posted on: November 20th, 2023

 

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 20, 2023 amefanya ziara kukagua ujenzi wa shule ya sekondari Mvuti iliyopo kata ya Msongola-Ilala na kupongeza ujenzi huo wa kisasa.

Mhe. Chalamila alimpongeza mkuu wa shule kwa  usimamizi wake licha ya kuwa figusufigusi hazikosekani lakini amejitahidi kusimama kwenye misingi na kuonesha ishara nzuri ya usimamizi wa fedha kwa usasa wa shule hiyo yenye madarasa, bati bora, 'tiles ', madirisha ya vioo na 'gypsum board'.

Pia Mhe Chalamila alisema, "Sasa akishakamilisha kabisa shule yetu hii, maana yake mwisho wa siku tutapata majawabu mazuri, yeye ndiye mjenzi kwakuwa fedha zinaingia kwenye shule yake maana yake ni kwamba amefanya kazi nzuri pamoja na wenzake."

Vilevile RC Chalamila alitoa wito kwa viongozi wote kuwa waaminifu wanapokabidhiwa pesa za miradi ya shule zitumike vile zilivyoagiziwa ili thamani ya majengo iendane na fedha husika, ambapo amemshukuru mhe. Raisi Dkt Samia Suluhu Hassan kwa fedha anazotoa na kuboresha maendeleo ya elimu nchi.

Kwa upande wa mkuu wa wilaya ya Mhe. Edward J. Mpogolo alisema shule nyingi zilizopewa fedha wameshindwa  kujenga shule za kisasa hali inayopelekea ukarabati wa mara kwa mara wa majengo,  na aliahidi kuanzia sasa shule zote za wilaya ya Ilala zitajengwa kwa mfumo wa 'tiles', " Tulikuwa tumeathirika kila baada ya muda mfupi madarasa yale yanatoboka watoto wanakaa kwenye vumbi, mtoto anatoka darasani unafikiri ametoka uwanjani."

Naye Diwani wa Kata ya Bw. Msongola  Azizi Mwalile alimshukuru mhe Chalamila kwa ziara yake licha ya kuwa kuna ubovu wa barabara hasa kipindi hiki cha mvua,  pia alipongeza kwa pesa walizopewa za kuwezesha miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule hiyo, vilevile hakuacha kugusia changamoto wanazozipata ikiwemo ukosefu wa maji, barabara na migogoro ya mipaka.

Ikumbukwe kwamba mradi huo wa shule ndiyo mradi mkubwa  wakwanza wa kisasa katika kata hiyo wenye thamani ya shilingi milioni 528

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa