• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aongoza Mamia ya wakazi wa Dar Kuaga Miili ya Sia, Diana na Norah

Posted on: August 8th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Agosti 8, 2023 ameongoza mamia ya waombolezaji katika viwanja vya Golf Lugalo kuaga miili ya watu watatu (3)familia ya Mzee Msuya waliofariki kufuatia ajali ya gari iliyotokea Agosti 3, 2023 eneo la Mbwewe Pwani

RC Chalamila akitoa Salamu za Serikali amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesikitishwa sana na taarifa ya vifo hivyo na ametoa pole kwa familia Ndugu Jamaa na marafiki kufuatia misiba hiyo huku akiwaomba kuwa na uvumilivu katika Kipindi hiki kigumu.

Aidha RC Chalamila amesema Serikali itatoa mkono wa pole kwa kila familia iliyofikwa na misiba hiyo siku ya kesho nyumbani kwa familia pia amesema Mhe Rais Dkt Samia amemuagiza kutoa maelekezo Hospitali ya Taifa Muhimbili kuwapatia msamaha wa matibabu Baba na Mama mzazi wa wafiwa hao ambao ni wazee katika Kipindi chote watakachohitaji matibabu katika Hospitali hiyo.

Hata hivyo Mhe Albert Chalamila amesema namna pekee ya kuwaenzi marehemu hao ni kuonyesha upendo na kuwahudumia wazazi na watoto wao kama walivyokuwa wakihudumiwa na marehemu hao enzi za uhai wao. " Kifo ni mali ya Mungu, Machozi yanayotutoka leo yakawe tija kwa familia" Alisema RC Chalamila

Ifahamike kuwa kufuatia ajali hiyo iliyotokea eneo la Mbwewe Pwani imepoteza Ndugu wa familia moja wanne (4) ambao walikua wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Moshi kwenye msiba wa mpendwa wao,  ambapo miili ya Sia, Diana na Norah inatarajiwa kupumzishwa katika makaburi ya Kondo Ununio Wilaya ya Kinondoni.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa