• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akabidhiwa na Benki ya NMB Msaada wa Zaidi ya Milioni 51

Posted on: August 17th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam *Mhe Albert Chalamila* leo Agosti 17,2023 amekabidhiwa msaada wenye thamani zaidi ya milioni 51 katika shule ya Msingi Mtakuja Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha sekta ya Elimu.

*RC Chalamila* amekabidhiwa madawati *200* kwa ajili ya Shule ya Msingi Mtakuja, Miembeni, Kombo na vingunguti, Bati *400* shule ya msingi Airwing na Sekondari karezange, Meza na viti vyake *100* kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Kivule na Gerezani pia meza na viti *34* kwa ajili ya walimu wa shule ya msingi Bonyokwa,

*RC Chalamila* ameipongeza na kuishukuru Benki ya NMB kwa msaada huo na kutoa rai kwa wadau wengine kuendelea kusaidia maboresho katika Sekta ya elimu katika Mkoa huo

Hata hivyo *Mhe Albert Chalamila* amepokea Changamoto zingine zilizowasilishwa kwake na wanafunzi wa shule ya msingi Mtakuja ikiwemo ubovu wa miundombinu na matundu ya vyoo ambapo ameutaka uongozi wa Jiji la Dar es Salaam kutatua Changamoto hiyo mara moja.

Aidha Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam *Bwana Dismas Prosper* akikabidhi msaada huo amesema msingi mzuri wa jamii unajengwa kupitia upatikanaji wa elimu bora kama mdau mkubwa wa sekta ya elimu nchini tunaunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika upatikanaji wa elimu bora katika kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia.

Kwa Upande wa Mkuu wa Wilaya *Mhe Edward Mpogolo* ameishukuru Benki ya NMB kwa msaada huo ambao unalenga kuboresha sekta ya elimu katika Wilaya ya Ilala, vilevile amemhakikishia Mkuu wa Mkoa kutekeleza maelekezo  na maagizo yake kwa wakati

Matangazo

  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Aridhia na Mapendekezo ya Ugawaji wa Baadhi ya Kata na Mitaa Kigamboni

    November 29, 2023
  • Hospitali 3 za Rufaa Dar za Kabidhiwa Ambulance za Kisasa

    November 28, 2023
  • DSM Yazindua Mfumo wa Vyeti vya Kuzaliwa vya Watoto

    November 28, 2023
  • RC Chalamila Afungua Mkutano wa Wadau wa TIB

    November 28, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Akutana na wataalam wa APHFTA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa