• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akabidhi Viti vya Watu Wenye Mahitaji Maalum Zaidi ya 18

Posted on: June 26th, 2023

 

- Amshukuru *Mtendaji Mkuu wa KC Global Tanzania LTD Ndg Chris Lukosi kwa moyo wake wa kipekee wa kutoa msaada huo bure*

-Amesema Rais Dkt Samia tayari ameshatoa maelekezo ya kuwa na data za watu wenye ulemavu ili mikopo inayotolewa na Serikali ianze kuwanufaisha wao

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 26, 2023 amekabidhi viti vya watu wenye mahitaji maalum (wheel Chair) zaidi ya 18 msaada ambao umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa KC Global Tanzania LTD baada ya kupokea ombi hilo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa Mhe Chalamila.

Akikabidhi "wheel Chair" hizo katika viwanja vya ofisi ya KC Global Tanzania LTD Salasala Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni amemshukuru sana Ndg Chris Lukosi kwa moyo wake wa kiungwana wa kujali kundi hili lenye uhitaji kwa kuwa makundi hayo yamekuwa yakikabiliwa na Changamoto kubwa sana kutokana maumbile yao hivyo kupitia msaada huo unakwenda kurahisisha maisha yao ya kila siku.

Aidha Mhe Albert Chalamila amesema Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anatambua makundi hayo yenye uhitaji maalum tayari ameshaelekeza kuandaa data za watu wenye ulemavu ili fursa za mikopo zinazotolewa na Serikali wanufaika wa kwanza wawe ni watu hao wenye ulemavu.

Kwa Upande wa Mtendaji Mkuu wa KC Global Tanzania LTD Ndg Chris Lukosi amemhakikishia mkuu wa Mkoa kuendelea kuwasaidia watu hao wenye ulemavu, siku za usoni anatarajia kuleta viti vya watu wenye mahitaji maalum zaidi ya 15 ambapo wale wote waliokosa leo watapatiwa viti hivyo.

Ifahamike kuwa KC Global Tanzania LTD ni kampuni ya kizalendo inayojihusisha na uuzaji wa magari ya aina mbalimbali ambayo Ofisi yake hapa nchoni iko Salasala Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa